JasonJamestz
Member
- May 14, 2014
- 9
- 3



Taarifa: Tembelea KWARE TANZANIA
1. Banda hili lina uwezo wa kubeba kware 250 - 300
2. Banda hili linauwezo wa kuwahudumia chakula kware 80 kwa wakati mmoja na kuwahudumia maji kware 60 kwa muda huo huo.
3. Banda lina mfumo wa maji wa dharura pale utapochelewa kuwaongezea maji kware.
4. Banda lina mfumo wa kukusanya mayai na kinyesi cha kware bila kuwagusa.
5. Banda ni jepesi na rahisi kulihamisha.
Namba ya simu ni 0785402424