Mwawado
JF-Expert Member
- Nov 2, 2006
- 993
- 252
Mabalozi Wanne Waandamizi wanarudi nyumbani baada ya muda wao wa kulitumikia Taifa aidha kustaafu kufika Kikomo.Mabalozi Emmanuel Mwambulukutu (South Africa),Ret.Maj.Gen Makame Rashid (Malawi),Dr.Ben Moses (Sweden) na Dr.Mahiga (U.N) wamemaliza muda wao na wanarudi nyumbani mwezi huu wa Novemba.
Kuna baadhi ya mabadiliko ya kawaida katika embassies nyingi na wizarani.Balozi capt.Abubakar Ibrahim pia anastaafu.Tusubiri Mabalozi wapya ambao watachaguliwa kuziba nafasi zitazokuwa wazi..
Tusubiri habari kutoka kwenye vyombo vya serikali,lakini kama kawaida JF ndio huanza kupenyeza habari.