WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 972
Sahihisho. Ubalozi wa Tanzania nchini Ujeremani ndiyo unawakilisha Vatican, siyo Ubalozi wa Tanzania nchini Italia.
Granted. Tuliwahi kuwa na Mh. Ali Amani Karume kama balozi wetu Ujerumani.
Sahihisho. Ubalozi wa Tanzania nchini Ujeremani ndiyo unawakilisha Vatican, siyo Ubalozi wa Tanzania nchini Italia.
Mambo ya kidiplomasia hayaendi hivyo Mkuu.Diplomasia kama siasa ni mchezo wa aina yake.
UK hawawezi kususia TZ kwa vile balozi Mwanaidi Maajar ni mwislam.Na kabla alikuwepo balozi Ally Mchumo and all was ok.Kadhalika sidhani kama Tanzania ikiamua kumpeleka Balozi mkristo nchi za kiislam watamsusia... ila kama alivyosema PASCO hapo juu, ni suala la kuona huo ushirikiano wenu utapata faida gani endapo mtapeleka balozi anayeweza "kukubalika all round" - nadhani nimeeleweka.
Granted. Tuliwahi kuwa na Mh. Ali Amani Karume kama balozi wetu Ujerumani.
Sio lazima ila wakipata muislam inakuwa bomba zaidi.
Sahihisho. Ubalozi wa Tanzania nchini Ujeremani ndiyo unawakilisha Vatican, siyo Ubalozi wa Tanzania nchini Italia.