Mabalozi 12 wa CCM Arumeru Mashariki wahamia CDM?

Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

Halafu mkuu bado unashauri uongozi wa juu wa Chadema ujiuzulu wakishindwa uchaguzi wa Arumeru Mashariki!!!???Hawa wanaohama CCM kwenda Chadema hawarubuniwi na fedha bali kiu ya ukombozi wa nchi yao.Well,Chadema inaweza kushindwa Arumeru Mashariki lakini kila uchaguzi wanaoshindwa wanaongeza idadi ya wanachama (kama hawa mabalozi) na kujiongezea mtaji wa kuing'oa CCM kitaifa hapo 2015...
 
Back
Top Bottom