Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,252
- 44,586
Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!

Ving'ang'anizi siku zote husababisha vurugu ikiwemo vita katika baadhi ya nchi, hata hapa kwetu kwa mwenendo huu tusiashangae siku nchi ikiingia katika machafuko kwani watawala hawako tayari kukubaliana na ukweli wa sasa.uwa sielewi wanaibukaje washindi mwisho wa siku?au ndio kuiba kura?watu wamewachoka ila ving'ang'anizi
Kumbe mabalozi wa nyumba kumi ni viongozi
Habari hizi zimetoka kwa ka-nzi (kakitokea Arumeru) huko kuwa tayari hilo limeshafanyika.. Hawa ni mabalozi wa kata ya Maroroni huko Arumeru mashariki. Ati wameamua kuhamia CDM kwa sababu "hawana watu wa kuwaongoza kwani watu wao wote wameingia CDM"!
Kumbe mabalozi wa nyumba kumi ni viongozi
Mwacheni Mungu aitwe Mungu
Hee, sio viongozi?Kumbe mabalozi wa nyumba kumi ni viongozi