ninacho fahamu ni mzungu mwenywe uwezo mkubwa wa kuzungumza na kuandika kiswahili kwa ufasaha.mengine zaidi kuhusu yeye wadau wengine watachangia,Katika gazeti la Raia Mwema kuna sehemu hii ya makala za "Aya za Ayah Binti Hidaya". Mwandishi wa makala hizi licha ya kuwa na ujumbe mzito lakini huwa zinakuwa zimeandikwa kwa namna ambayo inavutia sana kusoma. Mtu unasoma ukiwa unatabasamu hata kama ujumbe unakera.
Naomba kumjua mwandishi wa makala zile ambae anajitambulisha kama MABALA WA MABALAA...
Yeah..Anaitwa Richard Mabala...ni Muingereza nafikiri,alioa Mtanzania na hivyo akaamua kubadilisha jina lake la Ukoo na kuchukua hilo la Mabala...Ni Mtaalamu wa Literature,ameandika articles nyingi lakini ni maarufu sana kwa vitabu vyake ambavyo vimetumika sana kipindi fulani cha 90's kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza katika somo la kiingereza,vinaitwa Mabala the farmer na Hawa the Bus driver....
Ni raia wa kitanzania anaitwa richard mabala ni mmoja kati ya wazalendo wachache waliopo tz anaishi Africa sana siza Dar es salaam. Nasikia ana wake wawili mmoja ni mzungu na mwingine ni mwafrika
Mkuu angalia maandishi yako! usijeleta kizaazaaJina lake halisi ni Richard Satewite, Lakini alinogewa NA nswalu NA matobolwa ya Tabora akaamua kuachana NA Satewite, NA kuchukua Mabala. Alifundisha Chang'ombe Chuo cha Ualimu, ameifanya UNICEF etc
Hawa the Bus Driver by Richard S. Mabala « Susan Abraham
http://www.unicef.org/ethiopia/ET_media_S_RM01_05.pdf
kwa hizi utaweza kumfahamu vema
hahaaaaaaMkuu angalia maandishi yako! usijeleta kizaazaa
Anaitwa Richard Mabala.
Aiseee.....leo usiku huu nimemuona akihojiwa bbc nikashangaa sana, siku zote nilijua ni mswahili mwenzetu kumbe ni mzungu?? Ni mwanafasihi mzuri wa kiswahili...