shelumwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 516
- 188
Jamani mwenzenu nina hili tatizo nitaliondoa vipi
Njoo inox nikupe maelezo
Lilikua za bahada ya kunyoa na kiwembe upara au ?!!
Jamani mwenzenu nina hili tatizo nitaliondoa vipi
Fungus, zinazosababishwa na kutofua nguo za ndani, kuvaa nguoza ndani ambazo hazjakauka vzuri au ambazo hazianikwi kwenye jua wengine wana tabia ya kaunika nguo za ndan chin ya godoro.Wadau wa Jf naomba msaada kujua kiundani zaid yann knapelekea mtu KUPATA vijiupele kwenye korodani na akijikna anapata kijdonda
Natmain humu kuna watu wenye kujua sana mambo haya
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa mkuuFungus, zinazosababishwa na kutofua nguo za ndani, kuvaa nguoza ndani ambazo hazjakauka vzuri au ambazo hazianikwi kwenye jua wengine wana tabia ya kaunika nguo za ndan chin ya godoro.
Fearing of the Lord is the beginning of wisdom
Hiyo sasa labda una maanisha vibarango.Nimekuelewa mkuu
Na vp kwa wale wanakuwa na Mabaka mabaka mwilin mfano huchora duara kama shilling tatzo huwa n nn?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hiyo sasa labda una maanisha vibarango.
Kiwetu wanaiita "majomba"Hiyo sasa labda una maanisha vibarango.
Lete picha ya pumbu hizo tukushauri
Wadau wa Jf naomba msaada kujua kiundani zaid yann knapelekea mtu KUPATA vijiupele kwenye korodani na akijikna anapata kijdonda
Natmain humu kuna watu wenye kujua sana mambo haya
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Verify scientificallyhuo ni upugufu wa kinga mwilini(UKIMWI)
jitahidi uanze kufanya jitihada nyingine za kufuatilia matibabu...
Ridhika na ulichopewa mkuuOi wakuuuuuuu mke Wang kuna jinc ya kuongeza uume kuwa mkubwa kidogo? Anaejua plz
Mkuu huo ni ugonjwa wa Lindi sec, ulisoma pande zile?