Mabaharia wanaelewa

Mabaharia wanaelewa

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,195
Tuchojoua hakuna barafu ila wapo tunaowahitaj
IMG_20190923_175310_1.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh kweli bongo nyoko..hii nchi nimeivulia kofia





















Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
 
Inasemekana mabinti wakiwa bado wadogo tangazo huwa "kuna mbwa wakali"

Ila umri ukienda na hawaolewi tangazo linabadilika linakuwa "Barafu zipo"

Ili mabaharia wawaone.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wanaringa tu ila ikifika 30+ wanasinyaa kama dudu
 
Hahha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh kweli bongo nyoko..hii nchi nimeivulia kofia





















Mungu Ibariki Tanzania[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
 
True kaabisa
Inasemekana mabinti wakiwa bado wadogo tangazo huwa "kuna mbwa wakali"

Ila umri ukienda na hawaolewi tangazo linabadilika linakuwa "Barafu zipo"

Ili mabaharia wawaone.
 
Back
Top Bottom