Mabadiliko yatakayoiponya nchi

Mabadiliko yatakayoiponya nchi

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,155
Reaction score
6,169
Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
  • Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
  • Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
  • Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
  • Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa

NIKIWA RAIS WA TANZANIA mambo ambayo ntayafanya na yataiponya nchi na ni kama yafuatayo;-
  1. Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
  2. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi na wajumbe kutokuchaguliwa na Rais, bali na vyama vya siasa wataangalia namna ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake, wakishachaguliwa kazi ya Rais ni kuwaapisha
  3. DPP kuchaguliwa na wananchi na hatikwi kuwa na historia ya kuwa affiliate na chama chochote na akimaliza mda wake hatakua eligible kugombea Urais wa Tanzania
  4. Jaji mkuu kuchaguliwa na wananchi hatakiwi kuwa affliated na chama chochote-Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali na mchakato wa ndani wa mahakama kazi ya Rais ni kuwaapisha na akimaliza mda wake hatakua eligible kugombea Urais wa Tanzania
  5. Deni la taifa kukaguliwa na dpp ili kujua namna lilivyotumika
  6. Mkuu wa takukuru kuchaguliwa na wananchi na hatakiwi kuwa affiliate na chama chochote, na akimaliza mda wake hatakua eligible kugombea Urais wa Tanzania
  7. Mkaguzi wa miradi ya serikali huyu atakua anachagulia na wananchi na atakua ni engeineer na atakagua miradi yote iliyofanywa na kutathmini kama inaendana na thamani ya fedha iliyotengwa na inaubora uliokusudiwa na hatakuwa eligible kugombea Urais akimaliza mda wake
  8. Mbunge ni lazima aishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
  9. Mawaziri kutokuwa wabunge sababu mawaziri wengi wanapwaya kwenye majimbo yao
  10. Wakuu wa mikoa kuchaguliwa na wananchi
  11. Mchakato ndani ya vyama waamuzi wa mwisho ni wanachama wagombea hata wawe 100 wote watapigiwa kura na wanachama wa chama husika kwenye uchaguzi wa ndani wa kwanza ndo atepewa ridhaa
  12. Mchakato wa kumpata Rais wa ndani utafanyika kwa kupigiwa kura za wanachama wa chama husika kwenye kila mkoa na sio kuteuliwa na kikundi cha watu wachache
  13. Kutakuwa na chaguzi mbili;- ya Urais, wabunge na madiwani na utafanyika kwenye miaka inayogawanyika na 5, baada ya miaka 2 kupita uchaguzi mkuu kutafanyika uchaguzi wa wakuu wa mikoa, DPP, JAJI MKUU, MKUU WA TAKUKURU, MKAGUZI WA UBORA WA MIRADI YA SERIKALI, na wenyeviti wa mtaa
  14. Vyombo vya habari kuwa huru hata kuikosoa serikali
  15. Vyuo vikuu kurusiwa kufanya midahalo na kuikosoa serikali pale wanapoona imekosea
 
Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
  • Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
  • Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
  • Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
  • Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa

Ufuafao ni mtizamo wangu juu ya mambo ambayo naamini yakifanyika yataiponya nchi na ni kama yafuatayo;-
  1. Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
  2. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi na wajumbe kutokuchaguliwa na Rais, bali na vyama vya siasa wataangalia namna ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake, wakishachaguliwa kazi ya Rais ni kuwaapisha
  3. Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali na mchakato wa ndani wa mahakama kazi ya Rais ni kuwaapisha
  4. Deni la taifa kukaguliwa na dpp namna lilivyotumika
  5. Mkuu wa takukuru kutochaguliwa na Rais bali itafutwe namna ya kuchaguliwa kazi ya Rais ni kumuapisha tu,
  6. Mbunge ni lazima kuishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
  • Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
  • Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
  • Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
  • Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa

NIKIWA RAIS WA TANZANIA mambo ambayo ntayafanya na yataiponya nchi na ni kama yafuatayo;-
  1. Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
  2. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi na wajumbe kutokuchaguliwa na Rais, bali na vyama vya siasa wataangalia namna ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake, wakishachaguliwa kazi ya Rais ni kuwaapisha
  3. Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali na mchakato wa ndani wa mahakama kazi ya Rais ni kuwaapisha
  4. Deni la taifa kukaguliwa na dpp namna lilivyotumika
  5. Mkuu wa takukuru kutochaguliwa na Rais bali itafutwe namna ya kuchaguliwa kazi ya Rais ni kumuapisha tu,
  6. Mbunge ni lazima kuishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
Mkuu, hiyo no. 6 ni ya muhimu sana. Ni sahihi na ni haki na ni kweli kwamba wa jimbo Mbunge awe mwenyeji na mkazi wa jimbo husika, kwa manufaa ya jimbo na wanajimbo wawe na haki ya kumwondoa katika cheo hicho kama hatimizi mambo yao ya maendeleo waliojiwekea bila ya sababu ya msingi.
 
Mbunge akiwa anaishi jimboni atakuwa na kiu ya kuwapambania wananchi
 
Wewe ongea dhihaka unarusiwa ukicho kampumzike alafu urudi tena uendelee

Aaah nimeshau wewe pia ni bingwa wa matusi na kutukana unarusiwa kuporomosha yale matusi yako
Dhihaka gani tena Rais mtarajiwa? kwa hali hii wewe kweli utaweza kuvumilia upinzani na demokrasia za kwenye siasa?
 
Tatizo kubwa ni mfumo samia onaweza ondoka na akaja mtu mwingine mambo yakawa hayahaya

Tatizo ni kubwa sana zaidi ya tunavyoliona
Nakubaliana na wewe. Hata Dennis ukisoma vizuri nia yake ni hiyo. Tubadili mfumo wa namna ya kuwapata viongozi wa mihimili muhimu kama mahakama, bunge na tume ya uchaguzi. Bila hivyo Tanzania yetu inazidi kuangamia
 
Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
  • Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
  • Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
  • Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
  • Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa

NIKIWA RAIS WA TANZANIA mambo ambayo ntayafanya na yataiponya nchi na ni kama yafuatayo;-
  1. Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
  2. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi na wajumbe kutokuchaguliwa na Rais, bali na vyama vya siasa wataangalia namna ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake, wakishachaguliwa kazi ya Rais ni kuwaapisha
  3. Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali na mchakato wa ndani wa mahakama kazi ya Rais ni kuwaapisha
  4. Deni la taifa kukaguliwa na dpp namna lilivyotumika
  5. Mkuu wa takukuru kutochaguliwa na Rais bali itafutwe namna ya kuchaguliwa kazi ya Rais ni kumuapisha tu,
  6. Mbunge ni lazima kuishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
Mbunge akichaguliwa akashindwa kutimiza majukumu anaweza kuwajibishwa
 
Punguza pia mishahara na marupurupu ya wabunge kutoka sh 16m hadi 4m.Kwa sababu hii nchi bado masikini.Nilipoajiriwa 1974 mishaha ya mawaziri na wakuu wa mikoa haikuzidi laki nne na walitumikia taifa kwa uzalendo gari zao za kazi zilikuwa landrover na pijo 504.Maendeleo hivi sasa ni ya viongozi badala ya watu.hii si laana?
 
DPP kuchaguliwa na wananchi na hatikwi kuwa na historia ya kuwa affiliate na chama chochote
 
Back
Top Bottom