Mabadiliko yatakayoiponya nchi

Mabadiliko yatakayoiponya nchi

Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
 
Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
  1. Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
  2. Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
  3. Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
  4. Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa
 
Mkaguzi wa miradi ya serikali huyu atakua anachagulia na wananchi na atakua ni engeineer na atakagua miradi yote iliyofanywa na kutathmini kama inaendana na thamani ya fedha iliyotengwa na inaubora unaostahili
 
Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi,
  • Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama
  • Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi
  • Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge
  • Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa

NIKIWA RAIS WA TANZANIA mambo ambayo ntayafanya na yataiponya nchi na ni kama yafuatayo;-
  1. Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
  2. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi na wajumbe kutokuchaguliwa na Rais, bali na vyama vya siasa wataangalia namna ya kumteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake, wakishachaguliwa kazi ya Rais ni kuwaapisha
  3. DPP kuchaguliwa na wananchi na hatikwi kuwa na historia ya kuwa affiliate na chama chochote na akimaliza mda wake hatakua eligible kugombea Urais wa Tanzania
  4. Jaji mkuu kuchaguliwa na wananchi hatakiwi kuwa affliated na chama chochote-Majaji wa mahakama kuu kutochaguliwa na Rais bali na mchakato wa ndani wa mahakama kazi ya Rais ni kuwaapisha na akimaliza mda wake hatakua eligible kugombea Urais wa Tanzania
  5. Deni la taifa kukaguliwa na dpp ili kujua namna lilivyotumika
  6. Mkuu wa takukuru kuchaguliwa na wananchi na hatakiwi kuwa affiliate na chama chochote, na akimaliza mda wake hatakua eligible kugombea Urais wa Tanzania
  7. Mkaguzi wa miradi ya serikali huyu atakua anachagulia na wananchi na atakua ni engeineer na atakagua miradi yote iliyofanywa na kutathmini kama inaendana na thamani ya fedha iliyotengwa
  8. Mbunge ni lazima aishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
  9. Mawaziri kutokuwa wabunge sababu mawaziri wengi wanapwaya kwenye majimbo yao
  10. Wakuu wa mikoa kuchaguliwa na wananchi
Kazi nyingi ulizozitaja ni za kuombwa na wananchi wenye sifa na usaili kufanyika kupitia TUME MAALUM YA AJIRA kisha kupitishwa kwenye Bunge na kuapishwq na Rais
 
Mbunge ni lazima aishi kwenye jimbo lake sio haki hata kidogo na ni ukatili mkubwa sana mbunge tunakuchagua alafu unaenda kuishi dar jimboni unakuja kama mtalii
 
Msajili wa vyama vya siasa kutokuchaguliwa na Rais bali na vyama vya siasa vitakaa na kuamua namna ya kumchagua msajili wa vyama vya siasa kazi ya Rais ni kumuapisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom