Tetesi: Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya yaiva, JPM atema kibao

Hana jipya zaidi ya kutoa povu zito na kuteua na kutengua labda safari hii yule mburula muro atapata uteuzi na Mayalla pia.
And I guess muda wote wa awamu yake kazi kubwa atakayofanya ni kuteua na kufukuza tu..kuna wakati huwa natamani JK arudi walao mwaka mmoja!
 
Reactions: BAK
ahaaaa Murooooooo,bashite keshapendekeza ,chezea keki ya taifa weeeeee,ukiropoka,tukana wapinzani,wafanyie ubabe,eneza chuki,unakuwa rewarded na cheo,very niiiiiceeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: BAK
Source ya taarifa hizi?!Kama ni wewe mbona unataka kuifanya hiyo taasisi kama clouds media?
 
Hamna cha maana katika awamu hii zaidi ya kutengua, kuteua, kutumbua na watumishi kukaririshwa takwimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…