Tetesi: Mabadiliko ya Vifurushi yanakuja Tarehe 18.08.2022: Tutegemee unafuu au maumivu zaidi?

Vodacom wanakupa 8mb/s tena kwenye 4G?😳😳😳 Sasa kwenye 2.5G yaani E itakuwaje si 0mb/s.

Halotel napata hivi kwenye 3G na 4G, mara nyingi huwa siwashi kabisa 4G kwenye simu yangu, sababu speed ya 3G inanitosha kabisa, speed ya 4G inamaliza tu chaji!View attachment 2326045 na 4G
View attachment 2326046
Aisee! 32MB/SEC? Hapo bando la mwezi si linaisha ndani ya siku?😂

Mimi natumia Voda, wana option ya kupunguza na kuongeza speed. Ukiongeza speed inafikia hadi 12MBps. Ukipunguza inaishia kwenye 1MBps.

So nimepunguza speed na bado naperezi kwa mtelezo kabisa. Pia imepunguza speed ya bando kuisha..
 
Aisee! 32MB/SEC? Hapo bando la mwezi si linaisha ndani ya siku?

Mimi natumia Voda, wana option ya kupunguza na kuongeza speed. Ukiongeza speed inafikia hadi 12MBps. Ukipunguza inaishia kwenye 1MBps.

So nimepunguza speed na bado naperezi kwa mtelezo kabisa. Pia imepunguza speed ya bando kuisha..
Unapunguzaje/Unaongezaje speed kwenye voda mzee
 
Aisee! 32MB/SEC? Hapo bando la mwezi si linaisha ndani ya siku?😂

Mimi natumia Voda, wana option ya kupunguza na kuongeza speed. Ukiongeza speed inafikia hadi 12MBps. Ukipunguza inaishia kwenye 1MBps.

So nimepunguza speed na bado naperezi kwa mtelezo kabisa. Pia imepunguza speed ya bando kuisha..
Mkuu unapunguzaje speed?
 
naona kama zinaweza zikawa za maumivu kwani takwimu zinaonyesha kuwa Tanzania ni moja ya nchi ambazo bundle za internet zipo chini sana.

ila huenda pia "sirikali" watakuwa wamewaagiza washushe maana hii miezi 9 tumekuwa tunapigwa kushoto na kulia na vimakato mbali mbali!
 
Screenshot_20220817-100237.jpg
 
Tegemea maumivu zaidi, maana ninachoona ni kuthibiti matumizi ya kimtandao kwa wananchi wa kawaida kama njia ya kiusalama zaidi, maana mitandao imeonekana kuwa na nguvu sana........ni mtazamo wangu tu.
 
Tarehe 18 mwezi huu kuna mabadiliko mapya ya vifurushi yatafanyika. Hiyo ni kwa mujibu wa jumbe za kampuni husiko walizotuma.

Kikubwa tulichokuwa tunaumia watumia mabando ya kwenye simu ni kwa upande wa Internet Bundles ambazo zimekuwa zikishushwa kiwango kila kunapofanyika mabadiliko.

Je, na haya mabadiliko ya keshokutwa wananchi tutapata unafuu ama ndiyo watazidi kutuchinjia baharini?

View attachment 2325625

View attachment 2325626

View attachment 2325627

View attachment 2325628

View attachment 2325630
Tuamini kwa sasa Serikali yetu haina meno wala uwezo wa kutuondolea kero.

Wanaotuongoza unaweza kukuta wana hisa kwenye hayo makampuni. Hakuna pa kuponea.
 
Back
Top Bottom