Mabadiliko ya Tanzania yataanzia Arusha................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ya Tanzania yataanzia Arusha................

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by harakat, Nov 2, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kuna kila dalili kwamba mabadiliko ya Tanzania yataanzia Arusha kutokana na kuqwa na mbunge
  mwenye uthubutu na mpenda watu lema pamaoja na kuwa na serikali ambayo inampelekesha
  ili ashindwe kufanya kazi zake na wananchi wa Arusha tumchoke "hatutachoka kamwe haki daima"
   
 2. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu umekosea njia?mbona huku tena!
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  MMH!haya ya CDM sijui DCM mi nayaogopaga!!
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Safari moja huanza nyingine kwahiyo kama Arusha wameanza itaendelea kusamba mkoa hadi mkoa na baadae TZ nzima
   
 5. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mzimu wa Azimio la Arusha!
   
Loading...