Kachakachua modem hiyo ya tigo ili itumie line zoteI don't get it. Unasifia airtel but attachment in Tigo? Am I missing something?
wakuu naona speed ya internet ya airtel imekuwa tishio hapa mjini. inafika hadi 5Mbps. inadownload mb 200 ndani ya dakika 9. kuna mwengine amepata kitu kama hicho au miye tu nina bahati?
angallia attachements hii hapa chiniView attachment 41385
na nikitumia dashboard ya mobile partner inaonesha ni 3.9G instead ya HSPA. hii wanamaana inakaribia 4G. kwa wale wanaotumia modem za tigo wanavuka 3.1Mbps? mie natumia modem ya safaricom . speed yake hadi 7.2Mbps lakini mwisho wangu kuona ni 5Mbps.
I don't get it. Unasifia airtel but attachment in Tigo? Am I missing something?
airtel haiwezi kufikia hiyo spidi hata kwa tambiko. ila wana kila sababu ya kukulipa
hiyo ni lini mkuu coz jana usiku wa manene kabisa ambapo users ni wachache niltumia airtel coz ni bure na speed yake still was the same as usual only 2.30 Mbps iyo ndo average. Na apa kwangu airtel iko full kabisa
Yaani mb 200 ndani ya dk 9., hiyo ni speed ya kobe.
Natumia modem ya airtell, sasa hivi mb 400 natumia kwa siku mbili tu bila kudownload kitu chochote, wakati kabla ya hapo nilikuwa natumia karibu wiki mbili. wizi mtupu sitaki kuwasikia kabisa hawa kenge, na huenda nikauza hii modem yangu.