Nchi ishakuwa ya hovyo hii, kuna moja nimesoma NHC anamiliki ardhi kwa ubia na kampuni ya dubai......how comes kampuni ya nje imiliki ardhi hapa Tanzania, kwa sheria ipi? mimi nafikiri sheria inawaruhusu kukodi eneo la ardhi kama wawekezaji na siyo kumiliki.