A man with one idea
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 125
- 269
MABADILIKO YA FIKRA KATIKA MRADI / AJIRA
Nakuu!
Jim Rohn aliwahi kusema “Haulipwi kwa sababu ya MUDA tunaotumia bali kwa sababu ya THAMANI unayotoa katika huo muda katika Mradi”
(You are not paid because of the time you spend but because of the value you bring).
Kila unapoamka asubuhi na kuanza shughuli zako ni lazima ujiulize swali hili:
“Leo napeleka thamani (value) gani kwenye eneo langu la kazi katika majukumu ya mradi / ajira tupate faida ?”
Kumbuka thamani yako ndio huvutia pesa upande wako.
Kwa mujibu wa Kevin Maney anasema kuna aina 9 za kutengeneza thamani (Economic Value) ambazo zimegawanyika katika makundi mawili (Convinience na Fidelity).
Leo nitakushirikisha mbili kati ya hizo tunazoweza kuzitumia katika mradi .
Moja ni Speed + Accuracy (Kasi + Ufanisi):
Kwa nini siku hizi kila anayeuza kitu anajitahidi kuwapelekea watu walipo kwa wakati (efficient & convenient delivery Service)?
Ni kwa sababu kutoa huduma/bidhaa kwa kasi ni thamani ambayo watu wanaihitaji na wako tayari kukulipa fedha zaidi kwa ajili hiyo.
Jiulize, ”katika ninachofanya nawezaje kuongeza kasi na kufanya kwa muda mfupi zaidi?”
Mbili ni “Reliability”:
(Kiwango gani unaweza kuaminika ama bidhaa za Mradi / Ajira kuaminika na kutoa matokeo yaliyotarajiwa?).
Kadiri ambavyo watu watazidi kutuamini ndivyo thamani yetu inaongezeka katika soko la biashara / Ajira.
Leo jiulize “Ni mambo gani natakiwa kuyafanya ili niongeze thamani zaidi katika mradi / ajira niliyonayo?”
KUMBUKA THAMANI YAKO IMESHIKILIWA NA WEWE MWENYEWE.
Haitoshi kufanya kazi muda mrefu tu, Ongeza kiwango cha THAMANI unachotoa kila siku TALANTA/KIPAJI NI BIASHARA.
Nikushukuru sana nina matumaini makubwa kwa uwezo na tukafanya kazi pamoja na Mungu kwa pamoja tunaweza kufanya makubwa.