mlevi ana hesabu nyigi kuliko hata unavyomjua kwenye ile chupa ndogo alcohol yake imechangamka balaa japo contents zinasema zote alcohol moja kunywa safari kubwa nne na mimi ninywe ndogo 3 tuone nani atachangamka vizuriPiga hesabu utagundua per litre chupa ndogo ni ghali kuliko chupa kubwa. TBL wajanja, Mbongo ukimuwekea (mfano) nusu lita kwa tzs 800 na lita moja tzs 1400 atanunua nusu lita akiamini ni bei nafuu.
Piga hesabu utagundua per litre chupa ndogo ni ghali kuliko chupa kubwa. TBL wajanja, Mbongo ukimuwekea (mfano) nusu lita kwa tzs 800 na lita moja tzs 1400 atanunua nusu lita akiamini ni bei nafuu.
Mimi sinywi, ila natumia numbers. Kwa kuangalia numbers I.e alcohol percentage na ujazo wa zile chupa ndio maana nimetoa hio comment.mlevi ana hesabu nyigi kuliko hata unavyomjua kwenye ile chupa ndogo alcohol yake imechangamka balaa japo contents zinasema zote alcohol moja kunywa safari kubwa nne na mimi ninywe ndogo 3 tuone nani atachangamka vizuri
Mangiiii kumekucha tena!Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kubwa kuliko nchi yoyote ile ya Africa, lakini wanasahau kauli zao za kukua kwa uchumi na reality ya kitaa haviendani kabisa ni kama usiku na mchana.
Siyo umesikia ni kweli, soma mtanzania leo.yes, nimesikia pia theree some dudes who will loose their jobs man!!
the economy is realy hoovering ryt now.
the bad thing is that, serikali haijiri na pia inaua private sectorNchi ya viwanda huku ajira zinazidi kuisha.
Watu kibao wameshatimuliwa mkuu, na magari wamenyang'anywayes, nimesikia pia there are some dudes who will loose their jobs man!!
the economy is realy hoovering ryt now.
Yes. Ndo maana hii strategy yako watatusua. Less Content ila bei itakuwa kubwa ingawa itakuwa ndogo kulinganisha na chupa kubwa.Piga hesabu utagundua per litre chupa ndogo ni ghali kuliko chupa kubwa. TBL wajanja, Mbongo ukimuwekea (mfano) nusu lita kwa tzs 800 na lita moja tzs 1400 atanunua nusu lita akiamini ni bei nafuu.
nilipita pale nikasema hii parking siyo ya kawaida hiiWatu kibao wameshatimuliwa mkuu, na magari wamenyang'anywa
Hisia zako tu. Content sawa zote. Utofauti ni ujazo tu.mlevi ana hesabu nyigi kuliko hata unavyomjua kwenye ile chupa ndogo alcohol yake imechangamka balaa japo contents zinasema zote alcohol moja kunywa safari kubwa nne na mimi ninywe ndogo 3 tuone nani atachangamka vizuri
don nyatiIshi! Vi-takeaway mbona vinabeba ujazo wa bia kamili yaani 500ml?
Ungesemea vi-roba. Ajabu ni kwamba sasa hivi vinafungashwa kwenye plastiki ngumu,wao wakiziita chupa!
Hii nchi kwa ujanjaujanja hapana bw.
"hubakiza option chache sana kutupa kodi halali " nadhan kununua unga kulijibiwa hapaIna maana Mimi ninaye nunua "unga" huwa silipi kodi halali.?? Ufafanuzi Tafadhali.
Haya mkuu, hizo ni alternative options"hubakiza option chache sana kutupa kodi halali " nadhan kununua unga kulijibiwa hapa
Mkuu Senetor hapana ile sio kabisa bia moja nililala masaa 10ndio hivyo aslimia 100 wanakunywa chupa ndogo hata Mimi pia huku kanda ya ziwa kuna bia inaitwa balimi extra lager a.k.a " mwendo kasi"inauzwa 1500= watu tumehamia huko ukifika baa kila mtu ana hako kama hana hiyo basi ni prisner lager 1500,kama sio hiyo ni senetor lager 1200,au eagle 1200, hali ni ngumu sana siku hizi pia ukionekana unakunywa castre lager,safari,Kilimanjaro,na zote za 2500= unaonekana mtu flan hivi daaaah tutafika kweli??
Mimi kinachoniuma zaidi ni kuwa hata mbege imepanda juu kinyama!!