Mabadiliko na changamoto zake.

Prosoo

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
471
167
Wakuu ni kweli huu ndio wakati sahihi wa kufanya mabadiliko..Lakini CCM ina mbinu nyingi za kudhoofisha harakati hizi,wafanyakazi wote vikundi vya usalama kuanzia Askari Jeshi,Askari Polisi,Askari Magereza na Uhamiaji kura zao zimewekwa moja kwa moja CCM,Juzi Kuruta wametoka CCP na tayari kura zao zimeshawekwa CCM..Goli la mkono hili.
 
Back
Top Bottom