Na zile za kumissiana je! maana baada ya kutokuzipenda zile, itakuja mwingine tena hapendi aina fulani ya thread basi kila mtu atasema hapendi nini, mwisho wa siku kila kitu kitakuwa hakipendwi. wahusika wamesikia afadhali, nina imani watapunguza.... ila tu hata kwenye diskashen za QM na QT pia katikati huwa zinawekwa jokes za hapa na pale sio kuwa serious mwanzo mwisho inachosha sana.