Gabriel Gavu
Member
- Aug 18, 2017
- 10
- 3
Katika jambo ambalo linatokea kwenye siasa zetu ambalo nisingependa litokee ni hawa viongozi wanaotumia nguvu ya kuwepo kwao madarakani kuwashawishi wananchi na kubadili katiba ili kuongeza mihura au vipindi vya uongozi. Leo hata kesho siwezi kumsifia kiongozi anayewania uongozi baada ya awamu zake mbili. Tukumbuke ukimpata kiongozi mzuri na muda wake ukaisha mwache atoke. Ukipa muda zaidi ndivyo hata awamu mtakayopata kiongozi asiyefaa naye atakaa miaka mingi ndipo vilio vitatawala.