Elections 2010 Mabadiliko ITV na Nipashe

Wakuu, binafsi,sioni ubaya wowote mbona kuna JF members wengi tu ambao mwanzoni walikuwa CCM damu na sasa tunawaona jinsi walivyobadilika! waacheni IPP wafanye kazi yao...:biggrin1:
 
I wonder why Tanzanian media imekuwa hivi. . . Hata wanavyoripoti magazetini ni wiziwizi mtupu! I think we have to change this
 
Sasa naenda kutoa TV yangu ndani. Au wameona wanavyopoteza wateja wakajirekebisha? Mwenye frequency za ITV anipatie nianze kupata newz.
 
Bado niponipo hujui Tbc wamenunua wachina? Mbona umechelewa kupata taarifa? Watz wana minority shares,hawana maamuzi Tbc,jiangalie apo mkuu!
 
Nahisi angejua uda-dkt. unavyotafutwa angegoma kuitwa bila ya kuufanyia kazi,cjui anajisikiaje akikutana na akina Mugabe wenye shahada kama 9 ivi, au akina d. Mwakyusa anajisikiaje? Ukiwa na pass first degree,lazima ufanye kozi kama post graduate diploma au equivalent ndo ukachape mastaz zen phd, sasa jamaa ana pass ya sanaa ya uchumi zen dokta,du very exceptional,nakumbuka enzi za 20th century ndo vilaza walikuwa wanapewa heshima lakini in 21 century there is no free bread! Ccm iko juu wapo wasomi akina prof.majimarefu-ccm tanga, dr.jmk, dr.msabah, dr.kamala du wengi sana. Ila Msema Kweli Kinerugaba atawaumbua wengi. Nasikia Kinerugaba anatembea na RB ya kuwakamata mafisadi wa elimu!
 
Nimekuwa nikifuatilia ITV news daily nimegundua toka liibuke suala la mengi na ubambikaji wa madawa kwa motto wake coverage ya CHADEMA katika TV( leo news za mkutanomkule Kagera kuwa za kwnza na kuonyesha Nyomi la watu) yake na Magazeti(Nipashe kutoa picha na maelezo juu ya utafiti wa TCIB) yake imeongezeka
MY TAKE
Naona ameona mafisadi sio wa kuwakumbatia na anajua fika mpinzani wake ana support ya serikali ivyo kuingoa serkali husika ni jambo la Mbolea.
Keep it up Mzee Mengi wape vijana wa kazi more coverage ili serikali ya kidhalimu ingoke madarakani
acha uchonganishi ITV wako hivyo hivo kuanzia kampein zimeanza.jamani kamati ya chadema si mpo humu wengi ebu teteeni na hili jamani.
 
Mengi naye sio mtu wa kuwekewa dhamana kirahisi.......kuna watu wana interest zao ndiyo maana inabidi wkt mwingine ukae kimya tu kwani mengi anaaanmgalia maslkahi yake kwanza................km wanafanya hivyo baada ya kuwachefua watz muda wote unataka tumsifie!.....this is impossible let us be very careful with people like mengi they are very trick!
 
Tatizo huyu mzee ni kigeugeu na mnafiki wa hali ya juu!Hatabiliki hata kidogo!
 
Back
Top Bottom