Mabadiliko bila kujishugulisha labda upake karolaiti

Mabadiliko bila kujishugulisha labda upake karolaiti

Et m2 anawadangany ataleta mabadiliko kw mchaka mchaka wakat yy mwenyew kufany v2 kw haraka awez... Magufuri Hapa Kazi Tu
 
Nipo kijijini kwa magufuli buzilayombwe watu wanautapiamulo huruma tupu ccm hii sina hamu nayo tena

Mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe na biblia ibasema asiyefanya kazi na asile so nguvu zako na jitihada zako ndio zitakazokufanya wewe upate chochote kinywani sasa wewe kaa tu usubiri serikali ikuletee ugali, utakufa mchana kweupe unajiona
 
Upatikanaji wa dawa hospitalini, maji safi, elimu bora, umeme, thamani ya shilingi, n.k. ni suala la kujishughulisha au suala la serikali inayojali watu wske?
 
Elimu bora imekuwa biashara wakati ni haki ya msingi ya kila mtanzania. Ccm mmetufikisha pabaya sana.
 
natumai umelipwa ujira wako lumumba japo cashier hayupo
 
Back
Top Bottom