Mabadiliko bila kujishugulisha labda upake karolaiti

Reuters

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
375
Reaction score
160
MABADILIKO BILA KUJISHUGULISHA LABDA UPAKE KAROLAITI:

Mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa nchi yetu yataletwa na sisi wananchi wenyewe kwa kufanya juhudi kubwa za kazi huku tukiongozwa na chama makini,kiongozi mchapakazi,mfuatiliaji,muadilifu na mzalendo:Hakuna mabadiliko ya kweli yatakayoletwa ktk nchi hii kwa ubabaishaji,kwa sera za kumtoa babu seya au watuhumiwa wa ugaidi!!Mabadiliko bila kujishugulisha labda upake karolite!CCM oyeee
 
Mabadiliko ya maendeleo yanatoka na magufuli..mabadiliko ya ukawa ya ndoa ya jinsi moja hatuitaki,,
 
Mkuu ni kweli 80% ya watanzania sawa na watanzania 36,000,000 wanaishi kwa chini ya book mbili kwa siku kwa Kuwa ni wavivu na hawajitumi.nyinyi watu 9,000,000 ndo mnapiga Kazi na maisha yenu yapo super.hongereni
 
Mabadiliko ya maendeleo yanatoka na magufuli..mabadiliko ya ukawa ya ndoa ya jinsi moja hatuitaki,,
mkuu ikitokea magufuli akafa kesho mabadiriko yanaendelea au ndo safari inaishia hapo?
 
MABADILIKO BILA KUJISHUGULISHA LABDA UPAKE KAROLAITI:

Mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa nchi yetu yataletwa na sisi wananchi wenyewe kwa kufanya juhudi kubwa za kazi huku tukiongozwa na chama makini,kiongozi mchapakazi,mfuatiliaji,muadilifu na mzalendo:Hakuna mabadiliko ya kweli yatakayoletwa ktk nchi hii kwa ubabaishaji,kwa sera za kumtoa babu seya au watuhumiwa wa ugaidi!!Mabadiliko bila kujishugulisha labda upake karolite!CCM oyeee

Mzee kwa ubora wake wa maigizo
 
Mkuu umenena
Waambie vijana wote na bodaboda wanaofikiria mabadiliko ndo wataletewa chakula wakiwa kwenye pool
Au watapewa pesa taslimu
hahahahaha
nacheka sana
 
MABADILIKO BILA KUJISHUGULISHA LABDA UPAKE KAROLAITI:

Mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa nchi yetu yataletwa na sisi wananchi wenyewe kwa kufanya juhudi kubwa za kazi huku tukiongozwa na chama makini,kiongozi mchapakazi,mfuatiliaji,muadilifu na mzalendo:Hakuna mabadiliko ya kweli yatakayoletwa ktk nchi hii kwa ubabaishaji,kwa sera za kumtoa babu seya au watuhumiwa wa ugaidi!!Mabadiliko bila kujishugulisha labda upake karolite!CCM oyeee

Ila mabadiliko yataletwa na MTU anayeshangaa tu ,madawa hakuna hospital anashangaa ,mwenzie anajisifu kuifikisha nchi hapa ,yeye anasema mafisadi ndio walio tufikisha hapa
Ccm nyie werevu Sana yaani
 
MABADILIKO BILA KUJISHUGULISHA LABDA UPAKE KAROLAITI:

Mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa nchi yetu yataletwa na sisi wananchi wenyewe kwa kufanya juhudi kubwa za kazi huku tukiongozwa na chama makini,kiongozi mchapakazi,mfuatiliaji,muadilifu na mzalendo:Hakuna mabadiliko ya kweli yatakayoletwa ktk nchi hii kwa ubabaishaji,kwa sera za kumtoa babu seya au watuhumiwa wa ugaidi!!Mabadiliko bila kujishugulisha labda upake karolite!CCM oyeee

Watu tunajishughulisha sana lkn korosho zetu zinakopwa. Bora yaje mabadiliko hata kama ni ya kurudi kwenye ukoloni wa mjerumani. Kuna raha gani kuwageuza wananchi wako magaidi kwa lengo la kutaka kuungwa mkono na mataifa ya ulaya kwenye uchaguzi??
 
Unakuta guumtu gupo gupo tu kwao gunasugua miguu et anataka mabadlko haaaah haaaah haaaaah
 
MABADILIKO BILA KUJISHUGULISHA LABDA UPAKE KAROLAITI:

Mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa nchi yetu yataletwa na sisi wananchi wenyewe kwa kufanya juhudi kubwa za kazi huku tukiongozwa na chama makini,kiongozi mchapakazi,mfuatiliaji,muadilifu na mzalendo:Hakuna mabadiliko ya kweli yatakayoletwa ktk nchi hii kwa ubabaishaji,kwa sera za kumtoa babu seya au watuhumiwa wa ugaidi!!Mabadiliko bila kujishugulisha labda upake karolite!CCM oyeee

Mtoa mada umeongea point sana hivi El anakotoka jimboni kwake tu tatizo
 
mgombea nitaleta maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi;nguvu mpya arimpya kasimpya ccm=chavichavi
 
Mtoa mada umeongea point sana hivi El anakotoka jimboni kwake tu tatizo

tufike mahali tuwaambie wanasiasa waache kutudanganya. bahati mbaya watanzania wenyewe wanapenda kudanganywa. mgombea fisadi,wafadhilj wakuu mafisadi, sera za uongo lakinj ndio wanavitaka. kama kichwa cha mwenda wazimu vile.
 
Nipo kijijini kwa magufuli buzilayombwe watu wanautapiamulo huruma tupu ccm hii sina hamu nayo tena
 
Huwezi kuwa fisadi ukasaidiwa na fisadi halafu ukasema unataka kuleta mabadiliko
 
Back
Top Bottom