Kiukwel mm nimepanga nyumba nzima sina cha mpenzi wala mtarajiwa ss kuosha vyombo ndio shughuli na kufanya usafi hapa nilipo leo nimefungua jikoni kunatisha na pia maji hakuna hata tone yaani ubachala ninoma jamani nishajikanyaga nitapata wapi maji zaidi ya kujitukana mwenyewe ndio kilichobaki
Kwa hizi shida za ubachala na shughuli za ndani hakiri itanikaa vizuri