Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,325
- 4,089
Threesome
tupo pamoja dah kuosha vyombo siwezi nalipua tuHamna chakula kigumu kupika, kwangu mimi kigumu ni kuosha vyombo
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
ha ha ha noma sana huu ugali dah
dah usinikumbushe niliutoa hovyo wali nilipopikia gesiDaaaah wali wa kupika kwenye jiko la gesi unazingua sana ukibugi kidogo tu ukajaza maji ni shida kitu kinatoka bokoboko na jiko la mkaa kuanza purukushani za kutafuta mkaa miyeyusho
Sent using Jamii Forums mobile app
ChocloteNina imani mabachela tuko wengi sana humu.
Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.
Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.
Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?
Mkuu mimi kitu cha pilau hadi leo siiwezi kuikorofisha ikakaa poa...naishiaga kupika ya kawaida sana daaah
Dah kwa wengine rahisi wengine ngumu kiasiPilau ni upishi rahisi sana,me hupika nikiwa Na haraka maana hauna kazi.
Ukipata wasaa andaa uzi na ufundi wa kupika hizi common foods......Pilau ni upishi rahisi sana,me hupika nikiwa Na haraka maana hauna kazi.
Ukipata wasaa andaa uzi na ufundi wa kupika hizi common foods......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hili neno unarumangia ni kiswahili kweli au kiburundi mkuu hahahahahaaa!!Unanunua Fish wako wa kukaanga unarumangia na ugali utata ni kuosha vyombo
{unarumangia } itakuwa msamiati kuna hili kupepeta aise siku nimesikia nilicheka sana lakini ndiyo hivyoHivi hili neno unarumangia ni kiswahili kweli au kiburundi mkuu hahahahahaaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
poleIle Pilau niliyopika siku ile ya Ckrismass Mungu mwenyewe ananajua. Isingekuwa majirani kuokoa jahazi kwa kuleta kihotpot cha pilau makinikia nilikuwa naumbuka siku ile.
pilau rahisi sana na kuhusu vyombo nunua dishwasherBwana bwana kuna kitu kinaitwa pilau dah aseeee.. kinanichanganya balaa na kuosha vyombo
pilau rahisi sanaPilau nom mpk Leo cjui
Ip man 3
Ubarikiwe mkuu.....Mwanaume Kwanza hapiki anaandaa.
Napika karibia kila chakula nachokijua. Hadi mikate naoka.
Cc mama klaree