The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Wewe Katibu! Sijui huelewi utamu wa mume nadhani!
Hivi jiulize kuna benefit gani anayopata mtu aliyejinunulia gari , likawepo hom akaacha kwenda kupanda daladala kila uchao?
faida gani ikiwa muda mwingi hauko naye yupo na vibweka vyake vya nje ona watu wanavyoteseka humu
Unasemaje?????naona wenzangu wiki hii ni hekaheka ya kulalamika waume kuibwa kuna umuhimu gani kuwamiliki kwa nini msiwe single wenzenu tunaruka viwanja kinoma bila pressure.mume wa kazi gani ikiwa mabachela wamejaa
aah,nyie mwasema wadanganye ambao hawajaonja joto la jiwe ubachela una raha yake bna. na ndo nimeingia rasmi
Unasemaje?????
So far mwanafunzi mmoja ama wawili-watatu, wakifanya kosa unachapa darasa zima ?
Unatoa wapi vigezo vya kutuhukumu wote.
Kwamba wote m*bol* mkononi.
habari ndo hiyo naruka na vibachela tu humu
habari ndo hiyo naruka na vibachela tu humu
Naomba mechi, khaaaaaaaaa
Hapo kweli,mi mwenyewe sitaki pressure za kuwa na mke,nahisi wewe tunaendana kimtazamo,kama vp turuke wote au!!? @ The Secretary
Ukitaka kujua utamu wa ngoma sharti...naona wenzangu wiki hii ni hekaheka ya kulalamika waume kuibwa kuna umuhimu gani kuwamiliki kwa nini msiwe single wenzenu tunaruka viwanja kinoma bila pressure.mume wa kazi gani ikiwa mabachela wamejaa
Uingie na ujimwaye mwaye!Ukitaka kujua utamu wa ngoma sharti...
Hahahahaaa hujajua raha ya kuwa nayo muda wote!
Muulize Cantalisia atakupa ratiba!
Utasikia kuna cha mchana,asubuhi,adhuhuri,alasiri,jioni,usiku wa manane,usiku wa matisa n.k
Jaribu uone
Cha jikoni, bafuni, sebuleni, koridoni...
Kila wakati ni wakati wa chai! Hawajui watoto hawa!