[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi cha utumwa wanaume wa Dar walikuwa madalali wa kuuza watumwa toka mikoani mkuu
Kipindi cha utumwa wanaume wa Dar walikuwa madalali wa kuuza watumwa toka mikoani mkuu
Mkuu huoni wanavyokufa baharini kwa kurisk maisha yao ili wafike Europe?Hivi leo meli ikija wakasema wanaotaka kwenda majuu haitajaa?
Unadhani nyie kwa sasa ni majasiri sana kuliko wao?Walikuwa waoga kama wanaume Wa dar INA maana walikuwa wanashindwa hata kurusha ngumi ili kuleta heshima
Najua bro na hii ni kama utumwa mpya yaani wanajipeleka wenyewe hii ndio nilikuwa namaanishaMkuu huoni wanavyokufa baharini kwa kurisk maisha yao ili wafike Europe?
Na kweli mkuu itakuwa ni utumwa mamboleoIkija lazima ijae, watatumia jina tofauti na utumwa kwa enZi hizi
Najua ulikua unajua mkuu, ila nimekusapoti tu kufikisha ujumbe fulani kwa njia ya kuuliza swali kama wewe ulivyofikisha ujumbe kwa kuuliza swali,black sniperNajua bro na hii ni kama utumwa mpya yaani wanajipeleka wenyewe hii ndio nilikuwa namaanisha
Yaani sio wanakufa tu wengi wao wanazamishwa baada ya kulipa maelfu ya dollars
Very sad
Pamoja sanaNajua ulikua unajua mkuu, ila nimekusapoti tu kufikisha ujumbe fulani kwa njia ya kuuliza swali kama wewe ulivyofikisha ujumbe kwa kuuliza swali,black sniper
Hawakuwa na akili..??
Uhai wa mzungu ulikuwa na thamani sana. Ukiua mmoja jeshi linamakiza kijiji kizima. Nafsi zao ziliamua kulinda uhai wa wanawake na watoto wanao waacha nyumaWalikuwa waoga kama wanaume Wa dar INA maana walikuwa wanashindwa hata kurusha ngumi ili kuleta heshima
Tena ukikosa visa unaliaMkuu cha ajab siku izi watumwa wanajipeleka wenyewe
Wa Australia weusiNdio majina yao?
Najua bro na hii ni kama utumwa mpya yaani wanajipeleka wenyewe hii ndio nilikuwa namaanisha
Yaani sio wanakufa tu wengi wao wanazamishwa baada ya kulipa maelfu ya dollars
Very sad
Wa Australia weusi
Wapo wanaokimbia zaidi 6.6 millions wanaosubiri kukatiza bahari na borderWaethiopia,waeritrea na wakongo wanaongoza katika ile misafara ya kuvuka meditranian kwenda kwa wazungu!
Na mikono yao ikiwa na Pingu ?Walikuwa waoga kama wanaume Wa dar INA maana walikuwa wanashindwa hata kurusha ngumi ili kuleta heshima