Mababu zenu enzi za utumwa

Mababu zenu enzi za utumwa

Imeniumiza kdgo kwa kiasi Fulani..........sasa sku hzi hyo biashara ya kutununua wanaipiga hao wazungu bila kutubeba .....yani tunanunuliwa na kufanya wanayotaka tukiwa hapahapa.....shida kweli kweli
 
Hawakuwa na akili..??
Kama Wadanganyika walivyo sasa tu, wamefungwa minyororo na mtu mmoja au watu wachache lakini pamoja na nguvu na akili zao hawawezi kuikataa na kuikata minyororo sababu ya uoga wa nani aanze kumfunga nyau kengele
 
Ndo waliowazaa kina Kanye west, Pdidy Rihanah na wengineo wengi.
 
Namuona jamaa nyuma alivyojiachia na kiko yake chini manyani yakiwa yamefungwa minyororo.....yaan mababu zetu yalikuwa mase...ge kweli
Unakijua lakini unachokisema au unaongea tu kujifurahisha? Unadhani uliopo sasa una unafuu kuliko huo wa zamani?
Acheni dharau kwa wazee wetu waliopambana enzi hizo za ujima japo walishindwa kama sisi tunavyozidi kushindwa
 
Back
Top Bottom