Mabaamedi noma

jordah

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
68
Reaction score
11
Dah hawa wadada wanatuweka sana katika majaribu sisi walevi
 
kwani anakipi kipya zaidi ya mkeo au demu wako? maamuzi ikishindikana kuwa unaenda na mkeo au demu wako?
 
Acha kusingizia watu.

Ukijichunga na kujiheshimu mwenyewe hutaweza kujiingiza katika majaribu yoyote yale.

Hivyo, kabla hujaanza kunyoosha vidole vya lawama kwa wengine, jiangalie wewe mwenyewe kwanza.

Nyani ngabu pokea like hapa hapa na happy new year
 
Nyani Ngabu anajifanya upright, atajiangaliaje mwenyewe sasa, wadada wamevaa kimtego macho hayana pazia.
Labda ajiheshimu, lkn kiukweli barmaids noma sana.
 
Manjaa yako tu hakuna lolote..
Kama aisee mabaamedi wa dsm wanakuchengua hadhi yako ni ya chini sana , siwadharau ila sijaona wanachweza kumZingua mtu
 
Nyani Ngabu anajifanya upright, atajiangaliaje mwenyewe sasa, wadada wamevaa kimtego macho hayana pazia.
Labda ajiheshimu, lkn kiukweli barmaids noma sana.

kazi ni kwako
 
Mkuu kama baaned anakutamanisha fungua baa kwako afu mvalishe mkeo kimini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…