Maazimio ya Kamati Kuu CHADEMA

Maazimio ya Kamati Kuu CHADEMA

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
TAARIFA YA MAAZIMIO YA CHADEMA KWA VYOMBO VYA HABARI LEO.

Baadhi ya maazimio ya CHADEMA kuhusu uchaguzi serikali za mitaa kama yalivyosomwa na Dr. Slaa alipozungumza na waandishi wa Habari.

¤ Suala la kupita bila kupingwa ni kinyume na Demokrasia na haki ya msingi ya raia ya kuchagua, hivyo utamaduni huu ufe nakama ikitokea basi zipigwe KURA za NDIO na HAPANA.

¤ Viongozi wa CHADEMA waliochaguliwa ikigokea wanatuhumiwa kwa vitendo vya rushwa kamwe chama hakitawavumilia viongozi hao na tutawachukulia hatua maramoja bila kusita ikiwemo za ndani ya chama na hata kuwashtaki mahakamani.

¤ Kamati kuu imezitaka mamlaka zinazohusika kuwatambua mabalozi wa CHADEMA katika masuala yote ambayo yanahitaji wa ngazi hiyo, ikiwemo utambulisho wa ukazi. Wanachama wa CHADEMA hawalazimiki kwenda kupata idhini ya mabalozi wanaotokana na CCM kama ambavyo serikali inataka.

KUHUSU MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015.

Kamati Kuu ya Chama imepokea kwa masikitiko taarifa zinazoonesha kuwa hadi sasa serikali kupitia Tume ya Taifa ya Uchaguzi haionekani kujipanga kuweza kufanikisha uchaguzi mkuu ujao.

Tayari kasoro nyingi ambazo kama hazitafanyiwa kazi zitasababisha vurugu huko tuendako zimeanza kuonekana kwenye zoezi la majaribio ya andikishaji wapiga kura linaloendelea hadi sasa Kawe,Kilombero, na Mlele.

Akizungumzia vurugu na vifo na kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi huo, Dr. Slaa amewalaumu Waziri mkuu Mh. Pinda na Waziri wa TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia kuwa ndio chanzo cha matukio yote katika uchaguzi huo. Hasa kwa kutunga kwao kanuni mbovu na miongozo katika sheria ya uchaguzi Serikali za mitaa kanuni ambazo zimepelekea mauji katika baadhi ya maeneo nchoni hasa kule Nzega kutokea. Hivyo wote hawa wanapaswa kujiuzulu
wenyewe ama wawajibishwe na Mh. Raisi mara moja.

Akiyataja maeneo ya Miji midogo ambayo CHADEMA imeshinda, Dr. Slaa amesema:

"1. Nkasi - Namanyere
2. Hai - Bomang'ombe.
3.Karatu - Karatu.
4. Arumeru Mashariki - Usa river.
5.Vunjo - Ukawa.
6. Mbeya vijijini - Mbalizi.
7. Mbozi Maghari - Tunduma.
8. Mbozi Mashariki - Mlowo.
9. Kyela - Kyela.
10. Lupa - Makongorosi.
11. Busanda - Katoro.
12. Geita - Geita.
13. Chato - Chato.
14. Kwimba - Ngudu.
15. Karagwe - Kayanga.
16. Bukombe - Ushirombo.
17. Sengerema - Sengerema.
18. Tarime - Tarime.
19. Tarime - Sirari mji mdogo.
20. Rorya - Shirati ( 7/2).
21. Bunda - Bunda.
22. Serengeti - Mugumu 10/10 ( CUF 3).
23. Kahama - Kahama.
24. Bariadi - Bariadi ( 49/43).
25. Kilombero - Ifakara.
26. Magu - Magu.
27. Mbozi - Vwawa.

Sehemu zote hizo CCM ndio chama cha upinzani.
 
Matunda mema ya CHADEMA yameanza kuonekana kwenye matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa hizi ni habari njema kuanguka kwa utawala wa wezi wa pesa za umma ccm.
 
Je, sehemu walikowekewa mapingamizi ya kuonewa kama Korogwe itakuwaje? Nashauri uchaguzi ufanyike upya au waende mahakami kutengua huko walikopita bila kupingwa
 
Hatua nzuri sana hizi ndizo takwimu za kisomi siyo zile za Nape za kupindisha asilimia. Numbers never lie.
 
TAARIFA YA MAAZIMIO YA CHADEMA KWA
VYOMBO VYA HABARI
LEO.

Baadhi ya maazimio ya CHADEMA kuhusu uchaguzi
serikali za mitaa
kama yalivyosomwa na Dr. Slaa
alipozungumza na
waandishi wa Habari.

¤ Suala la kupita bila kupingwa ni kinyume na
Demokrasia na haki
ya msingi ya raia ya kuchagua, hivyo utamaduni
huu ufe nakama
ikitokea basi zipigwe KURA za NDIO na HAPANA.

¤ Viongozi wa CHADEMA waliochaguliwa ikigokea
wanatuhumiwa
kwa vitendo vya rushwa kamwe chama
hakitawavumilia viongozi
hao na tutawachukulia hatua maramoja bila kusita
ikiwemo za ndani
ya chama na hata kuwashtaki mahakamani.

¤ Kamati kuu imezitaka mamlaka zinazohusika
kuwatambua
mabalozi wa CHADEMA katika masuala yote
ambayo yanahitaji wa
ngazi hiyo, ikiwemo utambulisho wa ukazi.
Wanachama wa
CHADEMA hawalazimiki kwenda kupata idhini ya
mabalozi
wanaotokana na CCM kama ambavyo serikali
inataka.

KUHUSU MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015.

Kamati Kuu ya Chama imepokea kwa masikitiko
taarifa
zinazoonesha kuwa hadi sasa serikali kupitia Tume
ya Taifa ya
Uchaguzi haionekani kujipanga kuweza kufanikisha
uchaguzi mkuu
ujao.

Tayari kasoro nyingi ambazo kama hazitafanyiwa
kazi zitasababisha
vurugu huko tuendako zimeanza kuonekana kwenye
zoezi la
majaribio ya uandikishaji wapiga kura linaloendelea
hadi sasa
Kawe,Kilombero, na Mlele.

Akizungumzia vurugu na vifo na kasoro
zilizojitokeza katika
uchaguzi huo, Dr. Slaa amewalaumu Waziri mkuu
Mh. Pinda na
Waziri wa TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia kuwa ndio
chanzo cha
matukio yote katika uchaguzi huo. Hasa kwa
kutunga kwao kanuni
mbovu na miongozo katika sheria ya uchaguzi
Serikali za mitaa
kanuni ambazo zimepelekea mauji katika baadhi ya
maeneo nchoni
hasa kule Nzega kutokea. Hivyo wote hawa
wanapaswa kujiuzulu
wenyewe ama wawajibishwe na Mh. Raisi mara
moja.

Akiyataja maeneo ya Miji midogo ambayo
CHADEMA imeshinda, Dr.
Slaa amesema:

"1. Nkasi - Namanyere
2. Hai - Bomang'ombe.
3.Karatu - Karatu.
4. Arumeru Mashariki - Usa river.
5.Vunjo - Ukawa.
6. Mbeya vijijini - Mbalizi.
7. Mbozi Maghari - Tunduma.
8. Mbozi Mashariki - Mlowo.
9. Kyela - Kyela.
10. Lupa - Makongorosi.
11. Busanda - Katoro.
12. Geita - Geita.
13. Chato - Chato.
14. Kwimba - Ngudu.
15. Karagwe - Kayanga.
16. Bukombe - Ushirombo.
17. Sengerema - Sengerema.
18. Tarime - Tarime.
19. Tarime - Sirari mji mdogo.
20. Rorya - Shirati ( 7/2).
21. Bunda - Bunda.
22. Serengeti - Mugumu 10/10 ( CUF 3).
23. Kahama - Kahama.
24. Bariadi - Bariadi ( 49/43).
25. Kilombero - Ifakara.
26. Magu - Magu.
27. Mbozi - Vwawa.

Sehemu zote hizo CCM ndio chama cha upinzani.
Du!wataunda kambi ya upinzani na ACT
 
TAARIFA YA MAAZIMIO YA CHADEMA KWA
VYOMBO VYA HABARI
LEO.

Baadhi ya maazimio ya CHADEMA kuhusu uchaguzi
serikali za mitaa
kama yalivyosomwa na Dr. Slaa
alipozungumza na
waandishi wa Habari.

¤ Suala la kupita bila kupingwa ni kinyume na
Demokrasia na haki
ya msingi ya raia ya kuchagua, hivyo utamaduni
huu ufe nakama
ikitokea basi zipigwe KURA za NDIO na HAPANA.

¤ Viongozi wa CHADEMA waliochaguliwa ikigokea
wanatuhumiwa
kwa vitendo vya rushwa kamwe chama
hakitawavumilia viongozi
hao na tutawachukulia hatua maramoja bila kusita
ikiwemo za ndani
ya chama na hata kuwashtaki mahakamani.

¤ Kamati kuu imezitaka mamlaka zinazohusika
kuwatambua
mabalozi wa CHADEMA katika masuala yote
ambayo yanahitaji wa
ngazi hiyo, ikiwemo utambulisho wa ukazi.
Wanachama wa
CHADEMA hawalazimiki kwenda kupata idhini ya
mabalozi
wanaotokana na CCM kama ambavyo serikali
inataka.

KUHUSU MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015.

Kamati Kuu ya Chama imepokea kwa masikitiko
taarifa
zinazoonesha kuwa hadi sasa serikali kupitia Tume
ya Taifa ya
Uchaguzi haionekani kujipanga kuweza kufanikisha
uchaguzi mkuu
ujao.

Tayari kasoro nyingi ambazo kama hazitafanyiwa
kazi zitasababisha
vurugu huko tuendako zimeanza kuonekana kwenye
zoezi la
majaribio ya uandikishaji wapiga kura linaloendelea
hadi sasa
Kawe,Kilombero, na Mlele.

Akizungumzia vurugu na vifo na kasoro
zilizojitokeza katika
uchaguzi huo, Dr. Slaa amewalaumu Waziri mkuu
Mh. Pinda na
Waziri wa TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia kuwa ndio
chanzo cha
matukio yote katika uchaguzi huo. Hasa kwa
kutunga kwao kanuni
mbovu na miongozo katika sheria ya uchaguzi
Serikali za mitaa
kanuni ambazo zimepelekea mauji katika baadhi ya
maeneo nchoni
hasa kule Nzega kutokea. Hivyo wote hawa
wanapaswa kujiuzulu
wenyewe ama wawajibishwe na Mh. Raisi mara
moja.

Akiyataja maeneo ya Miji midogo ambayo
CHADEMA imeshinda, Dr.
Slaa amesema:

"1. Nkasi - Namanyere
2. Hai - Bomang'ombe.
3.Karatu - Karatu.
4. Arumeru Mashariki - Usa river.
5.Vunjo - Ukawa.
6. Mbeya vijijini - Mbalizi.
7. Mbozi Maghari - Tunduma.
8. Mbozi Mashariki - Mlowo.
9. Kyela - Kyela.
10. Lupa - Makongorosi.
11. Busanda - Katoro.
12. Geita - Geita.
13. Chato - Chato.
14. Kwimba - Ngudu.
15. Karagwe - Kayanga.
16. Bukombe - Ushirombo.
17. Sengerema - Sengerema.
18. Tarime - Tarime.
19. Tarime - Sirari mji mdogo.
20. Rorya - Shirati ( 7/2).
21. Bunda - Bunda.
22. Serengeti - Mugumu 10/10 ( CUF 3).
23. Kahama - Kahama.
24. Bariadi - Bariadi ( 49/43).
25. Kilombero - Ifakara.
26. Magu - Magu.
27. Mbozi - Vwawa.

Sehemu zote hizo CCM ndio chama cha upinzani.

Safari bado mbichi kwani hadi sasa; Vijiji CCM 80.5% Ukawa 19.5%, Mitaa CCM 71% Ukawa 29%
 
Hii nimeipendaje Makamanda..!! Hebu angalia hapo namba Saba wadau, Wanaume tumekandamiza 49/22!!! Heko Tunduma yangu fahari sana kuwa Mwana Tunduma...

Natoa pole kwa Makamanda ambao kwa namna moja ama nyingine walifight ili miji yao iwepo hapa kwenye list hii lakini hazikutosha.... Next time pambaneneni mpakaw kieleweke wakuu

Halafu Kamanda Molemo hapo no7 siyo Mbozi Magharibi tena bali ni Momba mkuu wangu

Pale Mlowo kwa kina Mtela Mwampamba na Juliana Shonza Chadema imefanya yake....!! Zambi noa siraha zako Jeshi liko mlangoni utachomoka taka usitake, Nyambafff zenu

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom