Maazimio ya Kamati Kuu CHADEMA

Maazimio ya Kamati Kuu CHADEMA

Mzee kazeeka mpaka akili anasema nini sasa.
 
Incoherent press release from rambling political party.

Hahahahahahah..... unywe na maji kaka ulainishe koo..!!!!

Na hilo tumbo lilivyo bila shaka litakuwa limepungua kutokana na takwimu hizi, kuna mdau hapa Jamvini alidai ccm inahama kwa kasi Mijini na kukimbilia vijijini ambako nako Mwindaji halali Chadema anamfuatilia mithiri ya "Kitembo" ndani ya selous.....!!!!!!

Ni shiiiiidaaaaah.

BACK TANGANYIKA
 
Which rambling party?This holds true for CCM loosing its majority support.I'm happy to witness the fall of the once upon a great party
Yes, CCM has lost its majority in the eyes of CHADEMA deformed party.

Keep on waiting, dude
 
Akiyataja maeneo ya Miji midogo ambayo
CHADEMA imeshinda, Dr.
Slaa amesema:

"1. Nkasi - Namanyere
2. Hai - Bomang'ombe.
3.Karatu - Karatu.
4. Arumeru Mashariki - Usa river.
5.Vunjo - Ukawa.
6. Mbeya vijijini - Mbalizi.
7. Mbozi Maghari - Tunduma.
8. Mbozi Mashariki - Mlowo.
9. Kyela - Kyela.
10. Lupa - Makongorosi.
11. Busanda - Katoro.
12. Geita - Geita.
13. Chato - Chato.
14. Kwimba - Ngudu.
15. Karagwe - Kayanga.
16. Bukombe - Ushirombo.
17. Sengerema - Sengerema.
18. Tarime - Tarime.
19. Tarime - Sirari mji mdogo.
20. Rorya - Shirati ( 7/2).
21. Bunda - Bunda.
22. Serengeti - Mugumu 10/10 ( CUF 3).
23. Kahama - Kahama.
24. Bariadi - Bariadi ( 49/43).
25. Kilombero - Ifakara.
26. Magu - Magu.
27. Mbozi - Vwawa.

Sehemu zote hizo CCM ndio chama cha upinzani.[/QUOTE]
Je ni kweli kuna uhusiano wa maeneo hayo na wakurugenzi waliochukuliwa hatua?
 
Safi makamanda vita ya kupambana Na waizi wA maLi Ya Umma ni nguMu.
 
Ukitaka kuharibikiwa fikra chagua kumsikiliza kibonzo wa siasa Dr Slaa
 
Tayari mwakyembe ni mpinzani kunyumba kwake...kyela tupo macho we always need changes.
 
Press lote ndo hiyo tu au hujamaliza kuandika
 
Ukitaka kuharibikiwa fikra chagua kumsikiliza kibonzo wa siasa Dr Slaa

Hivi ulifanikiwa 'kuzitia machoni' nyaraka kutoka Kurugenzi ya Habari juu ya jamaa mmoja kuweka lidude likubwa mfukoni?....anamfuko mpana san huyo jamaa... Ila nadhani huo mfuko unachanika muda si mrefu na lidude lazima litoke.
 
press ndogo sana

Viol: Angalia aliyeileta hapa sio official source ya CHADEMA. Aliyeleta kaileta kwa ushabiki wake na chama. Hakuna anaesema chama kiite watu kiishie kuongea hayo tu!
 
kas_27255-1609-2-30_90-470x272.jpg
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Willibroad Slaa
TAARIFA YA MAAZIMIO YA CHADEMA KWA
VYOMBO VYA HABARI
LEO.
Baadhi ya maazimio ya CHADEMA kuhusu uchaguzi
serikali za mitaa
kama yalivyosomwa na Dr. Slaa
alipozungumza na
waandishi wa Habari.
¤ Suala la kupita bila kupingwa ni kinyume na
Demokrasia na haki
ya msingi ya raia ya kuchagua, hivyo utamaduni
huu ufe nakama
ikitokea basi zipigwe KURA za NDIO na HAPANA.
¤ Viongozi wa CHADEMA waliochaguliwa ikigokea
wanatuhumiwa
kwa vitendo vya rushwa kamwe chama
hakitawavumilia viongozi
hao na tutawachukulia hatua maramoja bila kusita
ikiwemo za ndani
ya chama na hata kuwashtaki mahakamani.
¤ Kamati kuu imezitaka mamlaka zinazohusika
kuwatambua
mabalozi wa CHADEMA katika masuala yote
ambayo yanahitaji wa
ngazi hiyo, ikiwemo utambulisho wa ukazi.
Wanachama wa
CHADEMA hawalazimiki kwenda kupata idhini ya
mabalozi
wanaotokana na CCM kama ambavyo serikali
inataka.
KUHUSU MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU 2015.
Kamati Kuu ya Chama imepokea kwa masikitiko
taarifa
zinazoonesha kuwa hadi sasa serikali kupitia Tume
ya Taifa ya
Uchaguzi haionekani kujipanga kuweza kufanikisha
uchaguzi mkuu
ujao.
Tayari kasoro nyingi ambazo kama hazitafanyiwa
kazi zitasababisha
vurugu huko tuendako zimeanza kuonekana kwenye
zoezi la
majaribio ya uandikishaji wapiga kura linaloendelea
hadi sasa
Kawe,Kilombero, na Mlele.
Akizungumzia vurugu na vifo na kasoro
zilizojitokeza katika
uchaguzi huo, Dr. Slaa amewalaumu Waziri mkuu
Mh. Pinda na
Waziri wa TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia kuwa ndio
chanzo cha
matukio yote katika uchaguzi huo. Hasa kwa
kutunga kwao kanuni
mbovu na miongozo katika sheria ya uchaguzi
Serikali za mitaa
kanuni ambazo zimepelekea mauji katika baadhi ya
maeneo nchoni
hasa kule Nzega kutokea. Hivyo wote hawa
wanapaswa kujiuzulu
wenyewe ama wawajibishwe na Mh. Raisi mara
moja.
Akiyataja maeneo ya Miji midogo ambayo
CHADEMA imeshinda, Dr.
Slaa amesema:
“1. Nkasi – Namanyere
2. Hai – Bomang’ombe.
3.Karatu – Karatu.
4. Arumeru Mashariki – Usa river.
5.Vunjo – Ukawa.
6. Mbeya vijijini – Mbalizi.
7. Mbozi Maghari – Tunduma.
8. Mbozi Mashariki – Mlowo.
9. Kyela – Kyela.
10. Lupa – Makongorosi.
11. Busanda – Katoro.
12. Geita – Geita.
13. Chato – Chato.
14. Kwimba – Ngudu.
15. Karagwe – Kayanga.
16. Bukombe – Ushirombo.
17. Sengerema – Sengerema.
18. Tarime – Tarime.
19. Tarime – Sirari mji mdogo.
20. Rorya – Shirati ( 7/2).
21. Bunda – Bunda.
22. Serengeti – Mugumu 10/10 ( CUF 3).
23. Kahama – Kahama.
24. Bariadi – Bariadi ( 49/43).
25. Kilombero – Ifakara.
26. Magu – Magu.
27. Mbozi – Vwawa.
Sehemu zote hizo CCM ndio chama cha upinzani.
 
...NEC suala la MAJARIBIO na kusema halitarudiwa tena ni kutaka KUNYIMA fursa kwa watakaotimiza miaka 18 hapo mwakani. Huu UANDIKISHAJI lazima uwe ENDELEVU...
 
Peopleeeees Poweeeer. Na maeneo CCM ilikopita bila kupingwa, CDM ipitie sababu zilizosababisha wagombea wake waenguliwe, kama sababu hazina madhiko chama kitoe mwongozo ili mashitaka yakafunguliwe mahakamani kupinga mapingamizi hayo.
 
Back
Top Bottom