Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chadema imesema tathmini yao kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 14,mwaka huu imebaini kuwa ulihujumiwa.
Pia, kimewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia kujitathmini na kuchukua hatua za kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na kushindwa kusimamia ipasavyo uchaguzi huo.