Je Maaskofu wa majimbo yote watasafiri kuelekea Vatican? Vipi huduma za kiaskofu majimboni wakati huo??
Naomba msaada kwa anayefahamu
OkayWanaemda makadinali sio maasikofu wa majimbo...hao utaendelea nao kwenye huduma za sakramenti ya kitubio
😁😁shekhe MwaipopoTunaenda tu sisi makadinali tulio na umri chini ya miaka 80.
wabaki watoe matamko,Tunaenda tu sisi makadinali tulio na umri chini ya miaka 80.
Je Maaskofu wa majimbo yote watasafiri kuelekea Vatican? Vipi huduma za kiaskofu majimboni wakati huo??
Naomba msaada kwa anayefahamu