MunhuViongozi wa dini kila j'mosi na j'2 mnapiga sadaka tu bila jasho,h ha ha ha aaaaa tulien hvy hvy maana mmeacha neno LA munhu na kuangukia mipasho
MunguSwali zuri sanaUnaposema Jumamosi na Jumapili viongozi wa dini wanapiga Sadaka ina maana huwatambui wanaosali ijumaa?
Mimi ninawaombea lkn hicho ninachowaombea sasaHapo kwenye kuombea viongozi kwangu mimi pagumu sababu wanamiungu yao. Wanawadharau wanadamu wenzao. Labda kama watajirekebisha
Matusi?! Hapana mkuu, labda kama unao ushahidi wa angalau waraka mmoja uliojaa matusi wakati wa utawala wa JK. CCT sio vichaa hawawezi kuandika matusi.Ingekua ni jk huo waraka ungekua umejaa matusi
Kipi hicho?Mimi ninawaombea lkn hicho ninachowaombea sasa
Hizo sadaka hao viongozi wa dini hawaendi majumbani mwa watu kukusanya kama TRA wanavyopita kwenye makampuni kukusanya kodi. Ni waumini wenyewe kwa hiari yao wanapeleka. Hakuna anayelazimishwa kutoa sadaka. Ni haki yao sehemu ya sadaka kutumika kwa mahitaji yao ya kibinadamu kwa sababu hawalipwi mishahara na serikali, hizo sadaka ndio zinatumika kuwalipa.Waijuma kila siku wanaibada mara 5 ila hawatoi sadaka kama hao wengine
Sidhani kama kuna vita hapo. RC pamoja na kwamba haikatazi pombe, lakini pia hailazimishi pombe!...kuingiza viroba kwenye taarifa yao naichukulia kama kueneza ushawishi wa kiimani. rc na wengine ambao hawakatazwi pombe wameingizwa vita isiyo wahusu.
Lkn yote kwa yote waraka ni mzuri kama utafanyiwa kaziDaah! Tangu aondoke Dk Malasusa, KKKT ni kama imekuwa haina kiongozi...
Ha ha ha hujajua wewe,,,,umeshawah kusikia Leo hatutoi sadaka? Kelele nying ni sadaka tu kutwa kucha,,, nasema kwa uzoef nilio nao juu ya kuwapiga watu hela maana nimefanya haya kwa vitendo....Hizo sadaka hao viongozi wa dini hawaendi majumbani mwa watu kukusanya kama TRA wanavyopita kwenye makampuni kukusanya kodi. Ni waumini wenyewe kwa hiari yao wanapeleka. Hakuna anayelazimishwa kutoa sadaka. Ni haki yao sehemu ya sadaka kutumika kwa mahitaji yao ya kibinadamu kwa sababu hawalipwi mishahara na serikali, hizo sadaka ndio zinatumika kuwalipa.
Naona wakatoliki wamegoma kusaini huo waraka sijui inaleta picha gani hii.Cc: Otorong'ong'o njoo uone jinsi ilivyo vyema na kupendeza wakristo kuongozwa na PHD Holders.
Hakuna cha kuombea hapa, watu wanafiki, mniombee halafu katili kama hivyo! Achana na habari ya kuombewa, kila mmoja ajiombee! MIMI SIOMBI LABDA KAMA KUOMBA KWA SHETANI, HILO NITALIFANYA SIYO MUNGUHapo kwenye kuombea viongozi kwangu mimi pagumu sababu wanamiungu yao. Wanawadharau wanadamu wenzao. Labda kama watajirekebisha
Hata waumini wengi wa KKKT hawamfahamu... He is like he is not there...Kwanini haina kiongozi?
Huyu Askofu Shoo amekosa nini ambacho Malasusa alikuwa nacho?
HAWAPO KWENYE USHARIKA WA CCTAskofu kutoka katoliki mbona hajatajwa au kanisa katoliki halikubaliani na huu waraka?
Umeonaje?Naona wakatoliki wamegoma kusaini huo waraka sijui inaleta picha gani hii.
Usibadiri topic; kama hujui uwe unauliza. CCT ni muungano wa baadhi ya makanisa na sio yote. Tanzania kuna vyama au umoja hu wa Kikristo, 1. Roman Cathoric yupo peka yake ndio hiyo wanaitaga TEC, then makanisa ya Ki protestant except Wasabato na wapentekoste wao wana hiyo CCT na ndio huo waraka wake tunausoma hapa then Wapentecoste nao wanacho chao kinaitwa PCT, Wasabato sijui. So Gwajima yeye kimsingi ana fall hapo kwa PCT na sio CCT. Usichanganye madesa mkuu.Naona yule ambaye '' HAJAWAHI KUFUFUA HATA PANYA'' Hatambuliki kwenye umoja huo na wala hakualikwa