Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,015
- 2,645
Mafuriko ninyi ..............Hawana lolote wanafki tu
Mwafwa.
Mafuriko ninyi ..............Hawana lolote wanafki tu
Tatizo la bwana shoo yupo zake machameDaah! Tangu aondoke Dk Malasusa, KKKT ni kama imekuwa haina kiongozi...
Wewe kijana kifuasi wa bwn mudy wa mecca, nakuuliza tena umeshashiba ubwabwa wa manjano wenye amira tele?Phd za kuliangamiza taifa? Kamwambie Kilaini arejeshe jasho la watanzania kwanza ndo waje na nyoko nyoko zao, vinginevo wanyamaze maslahi yao yanalindwa
Kumbe uliwaona wakinywa Bia?IWEKE WAZI NAONA KAMA ULEVI SI KIKWAZO KWA DINI NYINGINE.NISHAWAHI KUONA VIONGOZI WA DINI WAKINYWA BIA.IKOJE HII
Itakuwa ni kwa sababu sizonje anatoka upande wao. Ukimpa nafasi Pengo azungumze juu ya utawala huu ye atausifia tuuSafi waendelee kujitahidi hivyo hivyo kuikumbusha serikali masuala muhimu.Ila naona kanisa katoliki awamu hii wapo kimya kama hawaoni yanayoendelea,sio kama ilivyokua kwenye awamu iliyopita.
Mi nashangaa sana watu wanaoshupaliaga sadaka na huku hakuna anaelazimishwa kutoa hata mmoja (labda kwenye haya makanisa mapya ya watu binafsi)unaweza kwenda kanisani na sadaka usitoe hata shin kumi kulingana na hali yako na hutoona wa kukunyooshea kidole.mwingine anatoa nyingi kadri ya kipato chake...Kutoa sadaka ni sehemu ya Ibada ya kikristo
Ila je, Waliwahi kukulazimisha kutoa sadaka?
Hao ni wana visebusebu achana nao.Mi nashangaa sana watu wanaoshupaliaga sadaka na huku hakuna anaelazimishwa kutoa hata mmoja (labda kwenye haya makanisa mapya ya watu binafsi)unaweza kwenda kanisani na sadaka usitoe hata shin kumi kulingana na hali yako na hutoona wa kukunyooshea kidole.mwingine anatoa nyingi kadri ya kipato chake...
Ni kweli jumapili sijawahi kusikia leo hakuna kutoa sadaka. Pia sijawahi kusikia leo lazima kila mmoja apite mbele kwenye kapu na atoe sadaka! Hayo yote sijawahi kusikia, kwa hiyo sadaka ni hiyari siyo lazima. Kama ulikuwa unapiga ni hizo hizo ambazo waumini wanatoa kwa hiyari yao.Ha ha ha hujajua wewe,,,,umeshawah kusikia Leo hatutoi sadaka? Kelele nying ni sadaka tu kutwa kucha,,, nasema kwa uzoef nilio nao juu ya kuwapiga watu hela maana nimefanya haya kwa vitendo....
UmekoseaHawa si ndio walikuwa wakila hela za lowassa kwa michango ya ugeni rasmi au nimekosea?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
umenifurahisha sananna
Wakatoloki sio sehemu ya CCT wao ni TEC. Hivyo hawhusiki. Hao ni Protestants. Nadhani umeelewaNaona wakatoliki wamegoma kusaini huo waraka sijui inaleta picha gani hii.
Hujaeleweka kwa kiasi kikubwasema waraka wa kkt n anglicana,ukitaja maaskofu tu maaskof wa ukwel TEC lazima wawepo!
xx hapo huo waraka wenu uspecify!;so unakurupuka tu askofu!maaskofu!;hat gwajima ni askofu mtukanaji ni mwizi wa wanawake wa watu
Pombe vitabu vyote haikuruhusiwa. Na sisi kama wafuasi wa matakwa ya mungu, yatupasa tuachane nayo. Mungu anapokataza jambo,ujue jambo hilo ni kwafaida yako wewe uliyeumbwa.IWEKE WAZI NAONA KAMA ULEVI SI KIKWAZO KWA DINI NYINGINE.NISHAWAHI KUONA VIONGOZI WA DINI WAKINYWA BIA.IKOJE HII
Lakini si wakristo mkuu .anyway nimekuelewaWakatoloki sio sehemu ya CCT wao ni TEC. Hivyo hawhusiki. Hao ni Protestants. Nadhani umeelewa