Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
Kuna document imeanbatanishwa kwenye thread hii hapa chini..
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-inayopendekezwa-na-mahakama-ya-kadhi-25.html
Twende polepole tutaelewana tu. Kwa hiyo unataka tuamini kuwa Jukwaa la Wakristu liko juu kimamlaka kwenye Mabaraza kama TEC au CCT? Hapa tena narudia, ufahamu msimamo wa mabaraza yote against msimamo wa Jukwaa lao. Ni simple sana hii kitu.
Asante sana, bado umeleta Tamko la Jukwaa la wakristu. Kuna mahali wadau wanasema Pengo alisaini ndo ilipo moja ya kiu zangu. Ndiyo hapo naposisitiza haja ya tafakari pana za kujua mipaka ya mabaraza kama CPCT au TEC dhidi ya Jukwaa hilo. Pitia kwa tahadhali kauli ya Pengo halafu fuatilia misimamo ya mabaraza yao against Jukwaa. Kwa ufupi jukwaa limeenda beyond boundaries...
Yes! Hili linaunganisha makanisa yote. Na lina uwakarishi sawa kutoka TEC, CCT, PCT na SDA (Sabato). Na limeundwa ili kuunganisha nguvu ya Wakristo na Makanisa. Kwa hiyo maamuzi ya Jukwa ya Wakristo ni ya juu zaidi kimuundo.
Sitaweza kujua msimamo wa ila baraza ila kwa Uwakirishi huu maazimio ya Jukwa la Wakristo ni la Mwisho. Na ndo azimio la juzi juu ya katiba mpya.
Tuseme kwa mfano Jukwaa la wakristu linaweza kuielekeza Mamlaka ya Baba mtakatifu. Well, kuna mahali katika moja ya mstari unakiri kutojua misimamo ya mabaraza. Asante kwa hilo. Polepole tutaelewana. Kwa ufupi chombo cha juu na cha mwisho cha ushauri wa mambo ya kanisa Katoliki hapa nchini ni Baraza lao la Maaskofu-TEC. Karibu.
Gwajima amejifedhehesha!
Pengo amejifedhehesha sana sana
hizi taarifa amelazwa kwa presha umezitolea wapi?!Gwajima amelazwa Muhimbili kwa presha, fika kule haraka kumuombea.
Kama kweli wewe ni Mkristo lazima ujue namna neno la Mungu lilivyotufundisha kuheshimu viongozi wetu. Wewe ni nani uwakashifu hivyo hawa watumishi wa Mungu. Pia haya mambo ya dini ni very sensitive lazima wakristo tuwe waangalifu.
Shetani anataka kutumia nafasi hii kuleta shida miongoni mwetu mwenye masikio na afahamu.
Pia nyie mnaomuhukumu Ask Gwajima au Ask Pengo muache mara moja. LOLOTE LINAWEZA KUKUPATA HAWA WATUMISHI WATAKAPOLIITIA JINA LA BWANA. Mungu atawapatanisha watumishi wake kwani yeye ndio anawajua na yeye ndie aliwaita. Yoyote atakaemsaidia Mungu atapigwa IKABODI. (Be careful and mark my words).
Moreover Mimi sisal kwa Ask Gwajima wala Pengo wala makanisa uliyoyataja! Nina wapenda hawa watumishi kwa nafasi zao na kwa wakati Mungu alipowatumia.
Queen Esther
hizi taarifa amelazwa kwa presha umezitolea wapi?!
I rest my case mkuuWadau, nimepewa usiku huu kuwa mchungaji Gwajima amekimbizwa Hospitali Muhimbili usiku huu kwa kile kilichotajwa kuwa ni tatizo la Presha.Mwenye Ukweli kuhusu habari hii atupe dondoo zaidi.Nawasilisha
Chanzo:Mtanzania
I rest my case mkuu
Naona wewe ni Tomaso mzeeLakini mtanzania haija ainisha kama ni presha... na huyo anaye ripoti haujui na yeye anajaribu kuuliza... kwasababu amesema amesikia...
Gwajima amejifedhehesha!
Pengo amejitanabaisha kua ni MVUNJA AGANO. Nina wasiwasi sana kama na maagano anayowekaga na Mungu kama hua anayalindaHuyo Pengo ndio hafai kabisa kukabidhiwa kondoo wa bwana.
Kibweter alikuwa ni Muumini wa kanisa Katoliki na hiyo inafahamika uganda wala hakuwa MpentecositeKibwetere na Gwajima wanafanana vipi?! Kwani Kibwetere na yeye alikuwa haumi maneno?! Halafu hao wa Kibwetere walisemea wapi hayo maneno...
Au unaongea kwa hisia tu... bila ya ushahidi, kama unao thibitisha ya kwamba hata hao wa Kibwetere walisema hivyo hivyo...
Unajua watu wanajifunza kimakosa. Umewahi ina Sungura anapokimbizwa na Fisi anakimbilia kwa Simba??? Jukwa la Wakristo haliwajibikwa kwa Papa wala kwa kanisa lolote. Mabaraza yanafanya hivi bila kuvunja utangamano wao na ngazi za juu. Ila hayawezi kufanya kinyume na Jukwa hili kwa maazimio yenye interests za wakristo.
Hivyo basi kila agenda inajadiiwa ndani na mabaraza haya na kuweka misimamo ya kikanisa kabla ya maazimio ya kidini.
Ndo maana watu wengi wanahoji kauli za Pengo.