Maaskofu wa mitaani, mjipime

Hawa wana JF hebu nilikoroge!!
Is it a coincidence?

Alipokuwa anaropoka pale alitarajia siku akiitwa Polisi atakwenda na Mh. Lowasa ili akamtetee.

Kumbe jana kaenda peke yake mwishowe Presha juu.

Anachezea sheria huyu.

Hapo wamemuhoji tu akalazwa hospitali MMC. Je akifikishwa Mahakamani itakuwaje!!!!!!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Usikurupuke, tulia na uisome mada uielewe.
 
Kuna aliyekabidhiwa kusimamia Ukristo duniani???
Gwajima kwa vigezo vyovyote si askofu, si lolote au chochote katika uongozi na ukristo. Ni mpayukaji tu asiye na chembe ya busara wala ukristo kimwili na kiroho.
 

Pengo amejifedhehesha sana sana
 

Mahakamani nani atafingua madhitaka??nani mlalamikaji???
 
Bahati mbaya hawa akina gwajima hawasemi kweli kihivyo. Anahubiri anaponya magonjwa yote na uende ukaombewe! Sio kupona na ndo maana yeye kapata pressure kakimbilia hospitali na siyo viwanja vya Tanzania parkers. Amkeni sasa nyie 'wana kondoo'.
 

Attachments

  • 1427530182746.jpg
    23.3 KB · Views: 168
Yajazayo moyo wa mtu , huonekana kwa matendo yake.

Huwezi kuita kiongozi wa wenzako ni wa mitaani, inamaa hata wanaoenda pale na wenyewe umewadharau ni wa mitaani...

Licha ya hivyo hayo ni maoni yako kwa hiyo sio lazima watu wawaze kama wewe...
 
alichofanya gwajima sio sahihi lakini msimamamo wa kadinali pengo ndio mbaya kabisa sikutegemea kiongozi wa juu kama kukurupuka na maamuzi kama hayo labda ni msimamo wake kama pengo sio kanisa katoliki msimamo wa kanisa katoliki juu ya katiba pendekezwa unajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…