masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,608
- 14,552
Hawa wana JF hebu nilikoroge!!
Is it a coincidence?
Katika miaka ya hivi karibuni kumezuka kundi la populist preachers ambao wamejipa uaskofu bila kuwa na sifa ya cheo hicho.
Kuna wazee wa upako,maaskofu wa misukule,wale wa milima ya moto,hata wale wa saa ya ukombozi kile tunachoona sasa ni udhalilishaji wa Ukristo na dini kwa ujumla.
Wengi wao lengo ni moja tu-kujipatia kipato kupitia dini na mahubiri na hakuna kinginecho.
Mimi si mkatoliki lakini kitendo cha "Askofu" Gwajima kumkashifu Askofu Pengo hadarani ni cha kulaaniwa.
Kitendo hicho peke yake ndio kinaonyesha mioyo ya hawa maaskofu wa mitaani,wasio na usomi au wito wowote wanavyoshindwa kwa simple test ya uvumilivu na busara.
Gwajima amejifedhehesha!
Hawa wana JF hebu nilikoroge!!
Is it a coincidence?
Yajazayo moyo wa mtu , huonekana kwa matendo yake.Ni kitendo cha kulaaniwa na nani?! Laani mwenyewe kwani ni lazima ulazumishe na wengine walaani?!
Mimi sikubaliani n Askofu Pengo lakini njia aliyotumia "Askofu" Gwajima haina upako.Mwambie pia Pengo aache unafiki. Kama alikuwa hakubaliani na hoja za maaskofu kwa nini alisaini waraka ule usomwe kwenye makanisa yake?