wewe ni Roman hamia Ugiriki. Huku umepotea eneo, unakasirishwa na maaskofu ndivyo walivyo!Mimi ni Roman Catholic lakini hawa maaskofu wamenifanya niufikirie mara mbili mbili huu ukatoliki wangu.
Kwanini hawa maaskofu watudharau kwa kiasi hiki? Yani wametuona sisi ni ma-Robot tusioelewa chochote hadi tuelekezwe cha kufanya?
Hawa maaskofu kwa akili zao wanadhani Mungu alishindwa kutufanya ma-Robot tufanye anayoyataka yeye tuepukane na haya mateso ya hii Dunia?
Wamenikera sana hao maaskofu.
Mimi ni Roman Catholic lakini hawa maaskofu wamenifanya niufikirie mara mbili mbili huu ukatoliki wangu.

wewe ni Roman hamia Ugiriki. Huku umepotea eneo, unakasirishwa na maaskofu ndivyo walivyo!
kwa hiyo unafurahi kuona kanisa linashindana na serikali?ni ukristo wa wapi huo?Rumi 13:1
Mimi ni Roman Catholic lakini hawa maaskofu wamenifanya niufikirie mara mbili mbili huu ukatoliki wangu.
Kwanini hawa maaskofu watudharau kwa kiasi hiki? Yani wametuona sisi ni ma-Robot tusioelewa chochote hadi tuelekezwe cha kufanya?
Hawa maaskofu kwa akili zao wanadhani Mungu alishindwa kutufanya ma-Robot tufanye anayoyataka yeye tuepukane na haya mateso ya hii Dunia?
Wamenikera sana hao maaskofu.
Mimi ni Roman Catholic lakini hawa maaskofu wamenifanya niufikirie mara mbili mbili huu ukatoliki wangu.
Kwanini hawa maaskofu watudharau kwa kiasi hiki? Yani wametuona sisi ni ma-Robot tusioelewa chochote hadi tuelekezwe cha kufanya?
Hawa maaskofu kwa akili zao wanadhani Mungu alishindwa kutufanya ma-Robot tufanye anayoyataka yeye tuepukane na haya mateso ya hii Dunia?
Wamenikera sana hao maaskofu.
Amekuambia yeye ni ROMAN CATHOLIC kwa hiyo usione ajabu kwa anayoyasema.Yuko Tz by accident!Unakereka bure tu mkuu, huenda hujui kazi za maaskofu. Kama unaamini askofu hawezi au hana wajibu wa kukuelekeza cha kufanya sijui huwa anafuata nini kanisani kama kweli wewe ni mkatoliki!!
Mimi ni Roman Catholic lakini hawa maaskofu wamenifanya niufikirie mara mbili mbili huu ukatoliki wangu.
Kwanini hawa maaskofu watudharau kwa kiasi hiki? Yani wametuona sisi ni ma-Robot tusioelewa chochote hadi tuelekezwe cha kufanya?
Hawa maaskofu kwa akili zao wanadhani Mungu alishindwa kutufanya ma-Robot tufanye anayoyataka yeye tuepukane na haya mateso ya hii Dunia?
Wamenikera sana hao maaskofu.
Mimi ni Roman Catholic lakini hawa maaskofu wamenifanya niufikirie mara mbili mbili huu ukatoliki wangu.
Kwanini hawa maaskofu watudharau kwa kiasi hiki? Yani wametuona sisi ni ma-Robot tusioelewa chochote hadi tuelekezwe cha kufanya?
Hawa maaskofu kwa akili zao wanadhani Mungu alishindwa kutufanya ma-Robot tufanye anayoyataka yeye tuepukane na haya mateso ya hii Dunia?
Wamenikera sana hao maaskofu.
safi kabisa,wewe kweli umekomaa kiimani.Katiba ya nchi inatakiwa kuamuliwa na wananchi maaskofu wako saw a kabisa kuwaelekeza cha kufanya waumini wao sababu wao(maaskofu) wameshaona mbali kuhusu katiba natoa pongezi nyingi sana kwa jopo hilo la maaskofu
maandiko hayana maana km unavyofikiria wewe,hivi Maaskofu wakitulia pasipo kusema chochote huku mambo yanaharibika,kesho na kesho kutwa nchi isipokalika huo Ufalme wa Mungu watauhubirije?,Na je watu wakianza kukimbia machafuko huo Ufalme wa Mungu watamhubiria nani??? KAA FIKIRI KWA KINA.
Kwa hiyo wanaipinga hii katiba ili wawe na mazingira mazuri ya kuhubiri injili au ni misukumo ya kidunia?hivi hapa nchini tukianza kufanya maamuzi kwa misingi ya kiimani,tutakuwa tunalipeleka wapi hili Taifa,uoni kama hawa maaskofu wanatutengenezea Bomu?
kuwa makini ndugu yangu! kwenye tamko lao hawajasema kuwa msimamo huo ni wa kidini,halafu tambua kuwa kiongozi yeyote wa Dini ana wajibu wa kuwaelekeza watu wake hata ktk mambo ya kimwili,maana mwili na Roho hutegemeana,usiwe mtumwa wa watawala wabovu.