Maaskofu mbona hawaongelei solution ya umeme kama kweli wanaitakia mema nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maaskofu mbona hawaongelei solution ya umeme kama kweli wanaitakia mema nchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Technology, Feb 24, 2011.

 1. T

  Technology JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  kAMA KWELI MAASKOFU WANATETEA MASLAHI YA TAIFA LETU NA SIO CHADEMA,MBONA WAMEKAA KIMYA KUZUNGUMZIA TATIZO ZITO LA UMEME KAMA WALIVYOISHAMBULIA CCM NA SERIAKALI KTK VURUGU ZA ARUSHA??
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  bandiko hili ni rojorojo
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Maaskofu wakisema wana lalamikiwa wanaingilia siasa. Wakikaa kimya napo wana laumiwa kwa nini hawasemi. Naanza kuamini kwamba maaskofu wanatumiwa kama scapegoat. In short ni kwamba maaskofu hawa wezi kutoa tamko kuhusu kila kitu na hata bila wao kusema kitu si kuna viongozi wa dini zingine? Na wao wako wapi?
   
 4. n

  ngoko JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani Maaskofu kama wapo hapa JF au wasemaji wao watakujibu.
   
 5. T

  Technology JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Basi waamue moja ama kukaa kimya kwamasuala yote au wasimame na wazungumzie kila kitu
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mi nadhani hapa unataka kuleta isue za udini,na please heshima iwepo kwa viongozi wetu wa dini,heshima iwepo,mimi ni mkristu na tuhuma za kizushi kuhusu kiongozi wangu wa Imani sitazikubali,
   
 7. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Viongozi wako wamezoea kudesa. Wanasubiri wenzao watoe tamko wao wajibu. Akili ya kuku hiyo. Kwa nini wao wasitoe yale matamko yao ya kulaani..?!
   
 8. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yaani polisi wapige watu risasi kanisani wakati wa vurugu za arusha halafu wakae kimya,masista wa watu wakawaomba hawakusikia,usitafute laana,waache maaskofu kabisa,
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wewe ni Ngumbaru kweli kweli!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ahaaa ahaaaa Masa unajua "The ignorant man always adores what he cannot understand" ndio huyu jamaa sasa
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Duh! Mkuu we ni mkaree! Kuna ignorant men all over....this is useful post
   
 12. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  management za makanisa huenda zimejipanga vyema...wana majenereta hivyo wako kiimani zaidi ya kutoa matamko!
   
 13. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  UKIMYA YA MAASKOFU JUU YA BIASHARA NA UDALALI WA NISHATI UMEME
  TANZANIA HIVI SASA NI USINEMA MZIMA ULIOIZINGIRA AMBAO SIRI
  YAKE TAYARI WANAYO MKONONI

  Nijuavyo mimi, Maaskofu nchini hawakaa kimya juu ya mikinzano juu ya utata wa 'biashara ya umeme' kwa kumaanisha kwa ukimya wao kwamba hali hiyo inawanufaisha, laa hasha!!! Wala sina uhakika kwamba hawajui yanayodhaniwa ni ya siri na WANA-CCM DOWANSI FAMILI hadi hivi sasa.

  Hakika ukimya wote huu unaooneka hivi sasa kwa upande wao viongozi wetu wa kiimani hawa wala si woga isipokua tu ni kule KUPIGWA BUTWAA JINSI WATOTO WATUKUTU WANAVYOENDELEA KUMPORA MZAZI WAO MZEE TANAZANIA na bado kujihisi wajanja mbele ya macho ya umma.

  Pindi uonapo umuonapo mtu anapokosa nidhamu ya kawaida uongozini, uadilifu na uzalendo kwa nchi yake kwa kiasi kikubwa kama ambavyo WANADOWANSI DAR ES SALAAM wanavyoonekana kukazana kufanya bila kurudi nyuma, bila kumsikiliza mtu yeyote na bila huruma yoyote kwa walipa kodi huku wakijiaminisha kwamba wanayoyafanya ni siri kwa kila mtu basi DAWA ZURI ZAIDI NI KUWAPA MUDA KIDOGO ILI MKANDA MZIMA WA SINEMA WALIOIANDAA UISHE KWANZA ndipo baada ya hapo waanze kuanikwa kila kitu kwa kila hatua mpaka hii familia ya DOWANS CCM ijihisi iko uchi mbele ya kandamnasi!!

  Kwa sababu wanafahamu mengi sana juu ya hii sinema ya DOWANS inayoendelea nyuma ya pasia hivi sasa ambayo wachezaji wake wakuu akiwemi Lowassa, Rostam Aziz, Nimrod Mkono, pamoja na MADALALI WAKUU WAPYA wa Dowans; wadogo January Makamba na Ridhiwani Kikwete.

  Hakika swala la Biashara ya Nishati Umeme hivi sasa ni bomu nyeti na hatari zaidi kuliko hata ilivyokua hapo jana na mlipuko wake pindi mambo yote muhimu yatakapowekwa bayana HUENDA SERIKALI YA CCM ISIJIKUTE PAZURI SANA SAFARI HII!!!

  Bomu hili juu ya biashara juu ya nishati ummeme ambao unalazimika kuwa na usiri mkubwa ajabu na ulazima wa kufanya biashara na mtu / kampuni ileile siku zote kwa namna unaonekana kutokukwepeka kwa vyo vyote vile, safari hii huenda ikaw ni zaidi ya gharika ya enzi za Nuhu kwa baadhi ya wanasiasa nchini.

  Siri nzito nzito nyuma ya msururu wa matukio kadhaa wa kadhaa kama vile; (1) Ugawanywaji viti vya kamati mbalimbali za bungenge, (2) Malengo angamizi kwa taifa kama ilivyopangwa na vikao vya siri kadhaa vilivyotangulia, (3) udalili wa January Makamba, William Ngeleja (4) na ujumbe wa safari ya Ridhiwani Kikwete Uarabuni hivi majuzi, (5) ujio wa huyu 'Mgeni Miujiza' aendeleaye kukatisha mitaa ya jiji la Dar es Salaam kwa jina la, ukarimu na mwaliko wa Wana-CCM DOWANSI FAMILI, ni zaidi ya sumu ya mamba yatakapowekwa mezani kweupe.

  Kwa mtindo huu Wa-Tanzania hatufiki mbali, mpaka tutakapotafuta njia sahihi za kurudisha moyo wa kizalendo wa kweli, uadilifu wa Ki-Tanzania uliomwagika baharini, na wizi wa makusudi kwa mzazi mzee Tanzania kwa ajili ya kukidhi kiu ya kununua uongozi hapo baadaye. Ili kuzuia haya yote ni sharti tuwe na azma moja, sauti moja na mwelekeo mmoja kuyazuia milele!!
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mbona huwaambii mabwabwa wenu watoe tamko? au wanasuburi maaskofu waseme ndo mpandie hapo? Ni hivi askofu wa Sumbawanga alitaka kuanziza umeme wa maji serikali ikamkatalia akaamua kjenga na kuupeleka umeme kwenye seminari yake ya kaengesa, na alipotaka kusambaza umeme vijiji vya karibu serikali ya mkoa ikamtolea nje. Aliyekuwa askofu wa Jimbo katoliki la rulenge, sasa Rulenge- Ngara Hayati Mwoleka alitaka kuajenga bwawa litoalo umeme miaka ya 70 kule kwenye mto Ruvuvu Ngara na alipoomba kibali wakadelay na alomfuata, Severine Niwemugizi Bishop alipoomba ajenge wakamtolea nje.

  Kule Tanga kuna padre mmoja mjerumani alitaka kuanzisha umeme wa upepo watendaji serikalini wakataka ten % ikashindikana! Hizi jitihada kwa matendo huzioni?
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,785
  Trophy Points: 280
  And these are the people that think before they speak....most of the people that I know, they speak first so that they could go in closed doors and that thinking!!
   
 16. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  kwani mashehe wameshaongelea (apart from madai yao kuwa upinzani dhidi ya fidia kwa dowans ni hujuma dhidi ya waislam)?
   
 17. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Usipate shida hao Maaskofu walishanyamazishwa na waisilamu kule DIAMOND kwenye lile tamko kama ulilisikia maana walichambuliwa kila kitu usipate shida tena hawainui tena mdomo na wajaribu waone mziki wake
   
 18. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Hata wakinena hutosadiki......................
   
 19. K

  Kanjunju Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio lazima maaskofu wasimame na kusema.mbona mashehe hawasemi?au ndo yale yale wanasubiri wenzao waseme na wao wafuate kucopy walichosema wenzao na kutaka kulumbana nao?maaskofu wamesoma na wanafikiri kabla ya kusema.muwatume maimamu nao watamke tuone kama wanaweza kupanga hoja zaid ya kuleta udini usio na maana.
   
 20. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Maaskofu hawakurupuki kutoa tamko kama wewe ulivyokurupuka kuandika thread hii. Wana masuala yao nyeti wanayoweza kuyatolea matamko na kwa kutumia usomi wao hulichambua suala husika kwa kina kabla ya kulitolea tamko tofauti na akili yako mgando inavyofikiri. Na mwisho, maaskofu hawakurupushwi kutoa matamko wakiwa kwenye vijiwe vya kahawa na kashata.
   
Loading...