Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
Mmasai alipewa kipaza sauti
kwenye msiba aseme japo
machache, akasimama akasema
Msiba oyee,
jenesa safiiiii
amependesa
hajapendesa?
Basi
mwenye wifu na yeye akufe kama hii mutu hapa.
9c dreams wanajf.
kwenye msiba aseme japo
machache, akasimama akasema
Msiba oyee,
jenesa safiiiii
amependesa
hajapendesa?
Basi
mwenye wifu na yeye akufe kama hii mutu hapa.
9c dreams wanajf.