Maandishi ya gari la wagonjwa

AZIMIO

Senior Member
Jun 15, 2011
188
52
Salaam wana jamvi,

Naomba kuuliza ili nipate kufahamu hivi haya maandishi ya kwenye magari ya kubebea wagonjwa 'AMBULANCE'
kuandikwa kwa kugeuzwa ni madoido au kuna sababu ya kuyaandika vile.mfano nimeona baadhi ya magri yakiandikwa kutoka kulia kuelekea kushoto na si kama tulivyozoea kutoka kushoto kuelekea kulia.

Mwenye ufahamu naomba anisaidie tafadhari.
 
Physics hiyo mkuu, ili dereva wa gari lingine aone katika hali ya kawaida, image huwa left-right inverted.
 
agonjwa wakizidiwa macho huwa vais vesa kwa hiyo waliona ili kutokuwachanganya na kuwaongezea maumivu wageuze ili wakitazama ndiyo wanaona iko powa.

kitaaluma zaidi.
 
sababu ni kuwa dereva wa gari la mbele ya ambulance aweze kuona neno ambulance kwa ufasaha kupitia "rear mirror"..."rear mirror" ina tabia iitwayo "lateral invertion" ambapo neno hugeuzwa ama kutoka kulia kuelekea kushoto au kushoto kuelekea kulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom