Maandishi sikusoma wala picha sikuona

Maandishi sikusoma wala picha sikuona

Umezungumza yotee ila hapo kwenye ufunguo alicheza kama jack bawa wa 24???inaonesha alikua anatumia akili nyingi kukufanya usijue ukweli
 
Aliyesema mapenzi ni upofu hakukosea kabisa. Unaweza ukawa na mtu na yale anayokufanyia au hata unayoyaona, unahisi kabisa hapo hutakiwi. Lakini still unajipa moyo kwamba maybe siku moja kila kitu kitakuwa ok. Tatizo kubwa binadamu hatupendi kukubali ukweli hata pale tunapoona tunatendewa ndivyo sivyo. Hatutaki kuamini that hatutakiwi, jamani REJECTION hurts ndo maana watu tunakomaa tu kujipa mioyo.

Na kwa muda huo huwezi kuona kama unapoteza muda wako kupenda usipopendwaa, hadi siku roho wa Mungu kakushukia hadi ukaweza kuchapa leo ndo unaanza kujiona jinsi ulivyo mjinga na muda ulio upoteza.
So, It happens a lot

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mapenzi ni kitu kingine hakuna anae penda kuumizwa,
Lakini inatokea tu kwa wajinga wengi wasio jua maana ya kupendwa
Ingawa moyo umeumbwa kusukuma damu ila kupenda ni kiherehere chetu tu
 
Mi ambalo sikuona ni ndoa ya baba yake skuliangalia hilo
 
Maneno kuntu. Ila na wewe mbona signs zilikuwa za kuzidi. Au ulikuwa unaishi kwa matumaini, kuwa mapenzi yako yatambadilisha.
Au ulikuwa na kiburi, refer Uzi wa mama S
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom