Maandishi kwenye t shirt

Maandishi kwenye t shirt

STALLEY

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
622
Reaction score
219
Jamani natoa angalizo kwa wanunuaji wa tshirt kusoma maandishi ya kwenye tshirt kabla ya kununua sababu mnaonekana vituko mtaani hasa wanaonunua mitumba
 
usawa wenyewe huu,kusoma hatujui sie tunajua yale ni "MACHATA TU'"
 
Mfano nilikutana na kijeba tshirt imeandikwa am pregnant nikashindwa kumuelewa
 
nshaona tisheti imeandikwa 'mortuary attendant'
 
moja nimeona imeandikwa KISS ME alafu mvaaji chizi
 
kuna m1 kavaa imeandikwa ONLY DUMB PEOPLE CAN READ MY T-SHIRT nlitaman kumrukia coz mwenyewe nlikua nasoma hayo maandishi :doh:
 
Back
Top Bottom