Barikiel
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 404
- 408
Unaijua saa mbovu? Hivi mtu akiku ulizamda na saa yako ni mbovu unamjibu nini? Mimi kwa uzoefu wangu fasta nitakisia nita angalia jua na nitamjibu.
MUNGU Alituoatia saa mbovu tuzivae kila mda inahitaji kurekebishwa ili isikupotezee muda. Mwanamke ni sawa na saa mbovu inapaswa kila wakati umrekebishe kama saa bila hivyo maisha hayataenda.