passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,803
- 13,034
Hakunanaga maandamano ya kudai haki yanayo pangiwa tarehe .The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko.
Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa na watu waliolaaniwa kwa kuua watu,kuiba pesa za umma,kutesa watu Nk.waovu kamwe hawawezi kupata utulivu.
Ukweli ni kwamba anguko la hii regime ovu haliepukiki kwa sababu wametengeneza hili kwa mikono yao wenyewe. Tusubiri muda wa Mungu.
SureIpo Siku watashtukizwa hawataamini
Kama mambo hayatarekebishwa kuna siki jambo litashtukizwa.Hakunanaga maandamano ya kudai haki yanayo pangiwa tarehe .
Uliandamana pande zipi kamanda?!!!!The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko.
Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa na watu waliolaaniwa kwa kuua watu,kuiba pesa za umma,kutesa watu Nk.waovu kamwe hawawezi kupata utulivu.
Ukweli ni kwamba anguko la hii regime ovu haliepukiki kwa sababu wametengeneza hili kwa mikono yao wenyewe. Tusubiri muda wa Mungu.
Vipi ulikaa uvunguni kama mo29 kamanda? Ungetoka basi labda ungekomboa taifa leo 😃😃😃The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko.
Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa na watu waliolaaniwa kwa kuua watu,kuiba pesa za umma,kutesa watu Nk.waovu kamwe hawawezi kupata utulivu.
Ukweli ni kwamba anguko la hii regime ovu haliepukiki kwa sababu wametengeneza hili kwa mikono yao wenyewe. Tusubiri muda wa Mungu.
Endelea kuishi kwa matumaini......limepita hilo. Samia Hadi 2030Ipo Siku watashtukizwa hawataamini
Samia si Mungu, hiyo 2030 ni kama Mungu ataridhia afikeEndelea kuishi kwa matumaini......limepita hilo. Samia Hadi 2030
Tarehe 29 nilishiriki maandamano kama nyie utawala ovu hamtapata amani na utulivu leo tu mmehaha hii ni kwasababu waovu hawawezi kupata utulivu na wataanguka.Vipi ulikaa uvunguni kama mo29 kamanda? Ungetoka basi labda ungekomboa taifa leo 😃😃😃
Samia ataanguka soon na hamtaweza kuzuia kwa sababu kajitengenezea laana kwa mikono yake mwenyewe.Endelea kuishi kwa matumaini......limepita hilo. Samia Hadi 2030
Watu weka tunaoshi kwa matumaini na amani tele kuwa atafika, wabaya wake wanaokesha katika jitihada za kumharibia hapa na pale watashindwa tena na tena na tena!Samia si Mungu, hiyo 2030 ni kama Mungu ataridhia afike
Lilisikika linyumbu limoja lililochanganyikiwa baada ya kushindwa kwa maandamano yao likitoa ushuzi puu puu puu kupitia mdomo.Samia ataanguka soon na hamtaweza kuzuia kwa sababu kajitengenezea laana kwa mikono yake mwenyewe.
Hapo sasa ndipo ujanja ulipofichwa ili waandamane wenyewe. Umeona hayo mafanikio sasa, au bado hujang'amua?Hakunanaga maandamano ya kudai haki yanayo pangiwa tarehe .
Yanapangwaje?Hakunanaga maandamano ya kudai haki yanayo pangiwa tarehe .
Maandamano hayajashindwa wanajeshi na polisi walikuwa barabarani hujawaona au?leo ujumbe umetumwa kwa njia ya kisaikologia na kama mambo hayatabadilika ipo siku itakuwa zamu ya watanzania wote kutoka.watu wenye akili wangekaa chini na kuona namna ya kurekebisha mambo ila huko mmejaa vilaza tu kuanzia kwa mama yenu.Lilisikika linyumbu limoja lililochanganyikiwa baada ya kushindwa kwa maandamano yao likitoa ushuzi puu puu puu kupitia mdomo.
Ushuzi tena? Kumbe na wewe ni wakupuuzwa tu. Huna hoja unaandika mambo ya ushuzi. Ccm recruitment ya machawa wao sijui huwa wanaangalia nini.Lilisikika linyumbu limoja lililochanganyikiwa baada ya kushindwa kwa maandamano yao likitoa ushuzi puu puu puu kupitia mdomo.
Sana sana!The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko.
Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa na watu waliolaaniwa kwa kuua watu,kuiba pesa za umma,kutesa watu Nk.waovu kamwe hawawezi kupata utulivu.
Ukweli ni kwamba anguko la hii regime ovu haliepukiki kwa sababu wametengeneza hili kwa mikono yao wenyewe. Tusubiri muda wa Mungu.
Hali ya kiti cha uraisHakunanaga maandamano ya kudai haki yanayo pangiwa tarehe .