T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,445 Reaction score 8,418 Mar 12, 2013 #1 Sijui wanaandamana kwenda wapi?
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Mar 12, 2013 #2 kuda pumba ziwe zinachanganywa na nyama
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Mar 12, 2013 #3 Wamechoka kuliwa, wanataka na wale wenzao.....hasa binadamu
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Mar 12, 2013 #4 Q Man said: Sijui wanaandamana kwenda wapi? View attachment 86599 Click to expand... Hili ni biti tu mboana hamna hata mmoja aliyemzidi mwenzake kuanzisha kiingia kwenye tairi la gari.
Q Man said: Sijui wanaandamana kwenda wapi? View attachment 86599 Click to expand... Hili ni biti tu mboana hamna hata mmoja aliyemzidi mwenzake kuanzisha kiingia kwenye tairi la gari.
Andindilile JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 289 Reaction score 145 Mar 12, 2013 #5 Ukiona hivyo ujue wanajihami na pasaka hiyo inakaribia
Kimagege JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 283 Reaction score 88 Mar 12, 2013 #6 Inabidi tembo wetu nao waandamane kumpinga mzee wa tembo
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Mar 12, 2013 #7 Q Man said: Sijui wanaandamana kwenda wapi? View attachment 86599 Click to expand... nasikia kuna wenzao kumi waligongwa eneo hilo na semi lililobeba silaha za kuwindia..
Q Man said: Sijui wanaandamana kwenda wapi? View attachment 86599 Click to expand... nasikia kuna wenzao kumi waligongwa eneo hilo na semi lililobeba silaha za kuwindia..
Msandawe Halisi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 647 Reaction score 351 Mar 12, 2013 #8 Chadema hao, wanataka kawamba ajiuzuru
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Mar 12, 2013 #9 nyama ya bata ni tamu
Prezidah JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 750 Reaction score 182 Mar 13, 2013 #10 Q Man said: Sijui wanaandamana kwenda wapi? View attachment 86599 Click to expand... mkuu hawa ni ndege au bata?
Q Man said: Sijui wanaandamana kwenda wapi? View attachment 86599 Click to expand... mkuu hawa ni ndege au bata?
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,954 Reaction score 7,113 Mar 13, 2013 #11 Prezidah said: mkuu hawa ni ndege au bata? Click to expand... Prezidah hao ni njiwa au huoni vizuri mkuu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Prezidah said: mkuu hawa ni ndege au bata? Click to expand... Prezidah hao ni njiwa au huoni vizuri mkuu
TAMKO JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 1,090 Reaction score 763 Mar 13, 2013 #12 Prezidah said: mkuu hawa ni ndege au bata? Click to expand... Bata wote ni ndege..
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,030 Reaction score 22,570 Mar 13, 2013 #13