Maandamano ya kupinga malipo kwa DOWANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya kupinga malipo kwa DOWANS

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mariavictima, Oct 18, 2011.

 1. m

  mariavictima Senior Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani, mimi ni mmojawapo wa Watanzania tuliokuwa tunasubiri kwa hamu maandamano tuliyotangaziwa na Wanaharakati akiwemo mama yetu Ananilea Nkya, kuwa yangeanza tarehe 14/10/2011 kwa siku kumi mfululizo. Naomba kuuliza, nini kimetokea mbona tunaona kimya?
   
Loading...