Maandamano ya kumrudisha Lipumba nani karuhusu?

CUF ilikaa miezi minane bila ya Mwenyekiti wala Kuitisha Kikao cha kuthibitisha Kujiuzulu kwa Lipumba kwa kuwa waljua atarudi na kweli Karudi!
Msione vinaelea Vimeundwa!
 
Kuna watu siku moja wataambiwa nguo za ndani zinavaliwa kichwani watavaa tena kwakujifanya ndio born town kweli. Polisi mpaka sitamani ndugu yangu yeyote awe polisi Tanzania.

Mtu anajifanya anasema kwa ukali eti tumeruhusu mikutano ya ndani ya vyama Vya siasa, kumbe umeagizwa use me hivyo!!
alafu wanalia hawajapata posho,wakauke hvo hvo
 
Nimeshangaa sana, sana Kuona Kuwa, Pamoja na Kuwa "Polisi" Walipiga marufuku nchi nzima, tena kwa kampeni ya ajabu ya Kuaranda mitaani na RPG nyuma ya Pickups utadhani ni ISSI au Alshabab, Cha Kushangaza Polisi hao hao Wamsindikiza Lipumba na Wahuni Wenzake Kuvamia Office za CUF. Na hata Pale sheria ilipovunjwa (a)Trespass (b) Kuharibu mali "Walipovunja geti") (c) Kuhatarisha Usalama wa Mlinzi, bado Polisi walikaa Kimya

Mimi NIjiulize 1) Nini Kiliwafanya Polisi Kukubali na Sio Kukubali Tu Bali Kusindikiza Maandamano hayo?
2) Polisi huwa Mahali kwa Maagizo ya Mkuu wao, Na yeye pia kwa Tanzania anapokea Maagizo ya Kisiasa, Nani aliwatuma Polisi Kusindikiza "Maandamano haramu" Kinyume na marufuku ya Polisi haohao?

CUF.jpg

Profesa-Lipumba.jpg

tmp_32297-12279059_534590116695433_7324159475362523139_n-166407421.jpg

mbona hiyo sentensi inajitalosheleza, sio ujue majina yao.
 
Mi sioni ajabu,
Maandamano Yalizuiwa na CCM kupitia mwenyekiti wake wa Taifa,
Li-Pumba amerudishwa CUF na haohao CCM
 
Police hawana tatizo na anaevuruga upinzani lakini gusa ccm hapo utawajua

...Upinzani ulishavurugwa siku nyingi na lile fisadi lililomwaga mipesa kwa akina Mbowe na Seif. Wapinzani wa kweli walijitenga na unafiki ule mwaka jana, walisutwa na dhamira zao walipoona upinzani ukinajisiwa.
---Respect sana kwa Prof na Dr waliosimamia principles bila kuyumbishwa na mihela ya lile fisadi.
 
Nimeshangaa sana, sana Kuona Kuwa, Pamoja na Kuwa "Polisi" Walipiga marufuku nchi nzima, tena kwa kampeni ya ajabu ya Kuaranda mitaani na RPG nyuma ya Pickups utadhani ni ISSI au Alshabab, Cha Kushangaza Polisi hao hao Wamsindikiza Lipumba na Wahuni Wenzake Kuvamia Office za CUF. Na hata Pale sheria ilipovunjwa (a)Trespass (b) Kuharibu mali "Walipovunja geti") (c) Kuhatarisha Usalama wa Mlinzi, bado Polisi walikaa Kimya

Mimi NIjiulize 1) Nini Kiliwafanya Polisi Kukubali na Sio Kukubali Tu Bali Kusindikiza Maandamano hayo?
2) Polisi huwa Mahali kwa Maagizo ya Mkuu wao, Na yeye pia kwa Tanzania anapokea Maagizo ya Kisiasa, Nani aliwatuma Polisi Kusindikiza "Maandamano haramu" Kinyume na marufuku ya Polisi haohao?

CUF.jpg

Profesa-Lipumba.jpg

tmp_32297-12279059_534590116695433_7324159475362523139_n-166407421.jpg
Tanzania bhana sasa chama hakimtak kwa kuwa jmaa ni yuda nyie mna razimisha wario mtuma wamchukue tu kwenye chama chao maana si zambi kuama chamaaaaaa aende ata Agizo la Chama Tawala "ACT" itapendza
 
Nimeshangaa sana, sana Kuona Kuwa, Pamoja na Kuwa "Polisi" Walipiga marufuku nchi nzima, tena kwa kampeni ya ajabu ya Kuaranda mitaani na RPG nyuma ya Pickups utadhani ni ISSI au Alshabab, Cha Kushangaza Polisi hao hao Wamsindikiza Lipumba na Wahuni Wenzake Kuvamia Office za CUF. Na hata Pale sheria ilipovunjwa (a)Trespass (b) Kuharibu mali "Walipovunja geti") (c) Kuhatarisha Usalama wa Mlinzi, bado Polisi walikaa Kimya

Mimi NIjiulize 1) Nini Kiliwafanya Polisi Kukubali na Sio Kukubali Tu Bali Kusindikiza Maandamano hayo?
2) Polisi huwa Mahali kwa Maagizo ya Mkuu wao, Na yeye pia kwa Tanzania anapokea Maagizo ya Kisiasa, Nani aliwatuma Polisi Kusindikiza "Maandamano haramu" Kinyume na marufuku ya Polisi haohao?

CUF.jpg

Profesa-Lipumba.jpg

tmp_32297-12279059_534590116695433_7324159475362523139_n-166407421.jpg
Siasa za Siasa
 
Ngoja yule msemaji wao mwenye ndevu aje atoe ufafanuzi.
 
Tukiwambia police wanatumika tunaitwa wachochezi...
Kwa hili police na msajili mlikurupuka na matokeo yake mtayaona...
Nguvu ya cuf zanzibar ikiamua kujiondoa cuf bara...ambayo ndio ilikuwa inalinda muungano kwa uhusiano wake wa kichama..

Yakitokea yatakaayotokea mzigo huu ni wenu police na msajili...na dhambi hii itatafuna vizazi vyenu.
 
Kuna watu siku moja wataambiwa nguo za ndani zinavaliwa kichwani watavaa tena kwakujifanya ndio born town kweli. Polisi mpaka sitamani ndugu yangu yeyote awe polisi Tanzania.

Mtu anajifanya anasema kwa ukali eti tumeruhusu mikutano ya ndani ya vyama Vya siasa, kumbe umeagizwa use me hivyo!!

mkorinto eti ukiambiwa uvae nguo ya ndani kichwani utavaa?
 
Bila ya Polisi kuwepo eneo la tukio Kibaraka wa Wapemba Mtatiro angemeng'enywa bila ya kutafunwa.
CUF ilikaa miezi minane bila ya Mwenyekiti wala Kuitisha Kikao cha kuthibitisha Kujiuzulu kwa Lipumba kwa kuwa waljua atarudi na kweli Karudi!
Msione vinaelea Vimeundwa!
polisi wameruhusu lini maandamano?
 
Back
Top Bottom