Maandamano ya kumrudisha Lipumba nani karuhusu?

Maandamano ya kumrudisha Lipumba nani karuhusu?

TL. Marandu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
3,625
Reaction score
5,815
Nimeshangaa sana, sana kuona kuwa, pamoja na kuwa "Polisi" walipiga marufuku nchi nzima, tena kwa kampeni ya ajabu ya kuaranda mitaani na rpg nyuma ya pickups utadhani ni isis au alshabab, cha kushangaza polisi hao hao wamsindikiza Lipumba na wahuni wenzake kuvamia office za CUF. Na hata pale sheria ilipovunjwa (a) Trespass (b) Kuharibu mali "walipovunja geti") (c) kuhatarisha usalama wa mlinzi, bado polisi walikaa kimya.

Mimi nijiulize;

1) Nini kiliwafanya polisi kukubali na sio kukubali tu bali kusindikiza maandamano hayo?

2) Polisi huwa mahali kwa maagizo ya mkuu wao, na yeye pia kwa tanzania anapokea maagizo ya kisiasa, nani aliwatuma polisi kusindikiza "Maandamano haramu" kinyume na marufuku ya polisi haohao?

CUF.jpg


Profesa-Lipumba.jpg


tmp_32297-12279059_534590116695433_7324159475362523139_n-166407421.jpg
 
Kuna watu siku moja wataambiwa nguo za ndani zinavaliwa kichwani watavaa tena kwakujifanya ndio born town kweli. Polisi mpaka sitamani ndugu yangu yeyote awe polisi Tanzania.

Mtu anajifanya anasema kwa ukali eti tumeruhusu mikutano ya ndani ya vyama Vya siasa, kumbe umeagizwa use me hivyo!!
 
Kweli nafikiri kama nchi tunahitaji jibu la swali hili kutoka kwa wahusika.
 
Kweli nafikiri kama nchi tunahitaji jibu la swali hili kutoka kwa wahusika.
 
Pengine Prof aliomba ulinzi wa polisi na akapewa - prof aliona mbali

Na pengine maandamano hayakuwa na ajenda za uchochezi.
 
Lipumba sio mpinzani! Kwahiyo kile alichokifanya Jana interejensia haikuona kama kuna uvunjifu wa amani na kweli tunashukuru mambo yalienda vizuri.
Mwenyekiti wetu mpendwa ameingia ofcn,ameingia kutekeleza majukumu yake ambayo hakuyamalizia kipindi kile.
Kweli mla nawe hufa nawe.
 
I retired from politics long time ago maana conspiracy theories ni nyingi. Siasa ni kilimo tukalime tujenge familia
 
Nimeshangaa sana, sana Kuona Kuwa, Pamoja na Kuwa "Polisi" Walipiga marufuku nchi nzima, tena kwa kampeni ya ajabu ya Kuaranda mitaani na RPG nyuma ya Pickups utadhani ni ISSI au Alshabab, Cha Kushangaza Polisi hao hao Wamsindikiza Lipumba na Wahuni Wenzake Kuvamia Office za CUF. Na hata Pale sheria ilipovunjwa (a)Trespass (b) Kuharibu mali "Walipovunja geti") (c) Kuhatarisha Usalama wa Mlinzi, bado Polisi walikaa Kimya

Mimi NIjiulize 1) Nini Kiliwafanya Polisi Kukubali na Sio Kukubali Tu Bali Kusindikiza Maandamano hayo?
2) Polisi huwa Mahali kwa Maagizo ya Mkuu wao, Na yeye pia kwa Tanzania anapokea Maagizo ya Kisiasa, Nani aliwatuma Polisi Kusindikiza "Maandamano haramu" Kinyume na marufuku ya Polisi haohao?

CUF.jpg


Profesa-Lipumba.jpg


tmp_32297-12279059_534590116695433_7324159475362523139_n-166407421.jpg
Hawa viongozi wa upinzani wote ni wale wale
1474861368777.jpg
1474861380407.jpg
1474861401959.jpg
 
Kuna watu siku moja wataambiwa nguo za ndani zinavaliwa kichwani watavaa tena kwakujifanya ndio born town kweli. Polisi mpaka sitamani ndugu yangu yeyote awe polisi Tanzania.

Mtu anajifanya anasema kwa ukali eti tumeruhusu mikutano ya ndani ya vyama Vya siasa, kumbe umeagizwa use me hivyo!!
Mwanangu bora aje kijijini kwetu kinampanda tulime kuliko kuwa Polisi.
 
Hivi ktk tukio kama ili kunauwezekano wa kulipeleka jeshí la polisi mahakamani kwa kinyume na kaurí zao hence kuonekana linafanya siasa za upendeleo ambao unaweza atarísha amani ya nchi? Natamani kuona ilo likifanyíka hata kama kesi ni ya mahind kumpelekea nyani. Ní mhimu kufanya ivyo kwa ushahidi wa kimahakama wa hapo baadae....
 
Na ili kuiua vizuri ukawa yeye kama yeye atateuliwa kugombea uraisi na cuf 2020. Nchi nyingine wangemuua huyu mzee
 
Police hawana tatizo na anaevuruga upinzani lakini gusa ccm hapo utawajua
 
Back
Top Bottom